HUYU pia ATASENSWA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HUYU pia ATASENSWA?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Aug 26, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,736
  Likes Received: 5,120
  Trophy Points: 280
  Shemeji yangu(mke wa kaka) amejifungua mtoto wa kike leo saa tano asubuhi. Kwa mujibu wa matangazo na taarifa zihusuzo sensa,watakaohesabiwa ni wale waliolala tar. 25 kuamkia 26. Je,huyu mtoto na wa aina ya yake watasenswa?
   
 2. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,065
  Likes Received: 1,663
  Trophy Points: 280
  Hapana hatahesabiwa maana amezaliwa baada usiku wa kuamkia sensa.. Yaani sensa imemkuta bado hajazaliwa

  Ila kama angezaliwa saa tano usiku hapo angehesabiwa maana saa sita ingemkuta tayari amezaliwa


  Hata mtu atakayekufa saa tano usiku hatahesabiwa pia mana sensa imemkuta ameshakufa

  NOTE: SENSA INAANZA SAA SITA NA DAKIKA MOJA USIKU
   
Loading...