Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahaha..!Maadui zake: wamakomde,,Chenji chenji na walafi wengine
Hata lugha ya picha huijui mkuu?..Acha fix, mamba anakunywaga chai?
Kuna siku niliwakuta wanapiga story na ANACONDA kule mto AMAZON tena bila wasi wasi wanajadili siasa za baadhi ya mataifa waligusia USA TZ ZMBBW RUSSIA NK UFILIPINO nk kiufupi waliongelea mengi sana ikiwemo sakata la vyeti hapa Tz
Bila shaka hata wewe ukishika kisu umchinje, utajikuta unaanza kumpenda tu.kisha unaghaili.Duu adi mamba madui wake ni nani sasa
Aisee, hats kama umegongewa mkeo, kwa komenti hii lazima utabasamu.Kuna siku niliwakuta wanapiga story na ANACONDA kule mto AMAZON tena bila wasi wasi wanajadili siasa za baadhi ya mataifa waligusia USA TZ ZMBBW RUSSIA NK UFILIPINO nk kiufupi waliongelea mengi sana ikiwemo sakata la vyeti hapa Tz