Huyu panya anaweza fika kilo 90, anaitwa capybara

Aisee hebu nipeni gharama kutoka tz mpaka america ya kusini ni shilingi ngapi? Nikatafute mafuta ya ngekewa na ngozi yake nije nipige pesa zangu hapa tz naona wateja wengi sana kila mtu anataka awe na bahati ya ngekewa
 
Katika baadhi ya sehemu za South America, especially Venezuela, nyama ya capybara hutumika zaidi wakati wa mfungo wa kuelekea pasaka.

Kanisa katoliki nchini Venezuela huruhusu ulaji wa nyama ya capybara kipindi hicho ambacho aina nyingine za nyama huwa haziruhusiwi kuliwa
 
Huyo ni ndezi bana.ananyama Tamu kama ya kuku

The capybara (Hydrochoerus hydrochaeris) is the largest rodent in the world. It is a member of the genus Hydrochoerus, of which the only other extant member is the lesser capybara (Hydrochoerus isthmius).

Close relatives are guinea pigs and rock cavies, and it is more distantly related to the agouti, chinchillas, and the coypu.

Native to South America, the capybara inhabits savannas and dense forests and lives near bodies of water. It is a highly social species and can be found in groups as large as 100 individuals, but usually lives in groups of 10–20 individuals.

The capybara is not a threatened species and is hunted for its meat and hide and also for a grease from its thick fatty skin which is used in the pharmaceutical trade.[2]
76a3bdf6d09d282fbfe94e8eb6c7e093.jpg
 
sijawahi mkuu. ila ndezi kwa kiingereza ni cane rat na anapatikana Africa na yule ni capybara anapatikana kwa asili america kusini. kwani ndezi anaweza fika 50kg?
Ukubwa wa ndezi hauwezi fikia kilo 50 lakini 30 wanafika kutegemeana na eneo analoishi na vyakula vinavyopatikana huko...ndezi anayepatikana sehemu yenye zao la miwa kwa wingi ukubwa wake hauwezi lingana na yule anayeishi kwenye matete mtoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom