Huyu ninaemuona Mwanza ni Said Meck Sadick au namfananisha?

Yuko Mwanza siku nyingi sana alikuja kupambania uenyekiti wa CCM mkoa, akakutana na mbabe Anthony Mwandu Dialo amesimika mizizi yake akaangukia pua kwa hiyo yupo yupo tu
 
Tangu astaafu ukuu wa mkoa wa Mbeya sijawahi msikia tena Mzee Said Meck Sadick

Hapa Mwanza namwona Mzee kafanana sana na Meck Sadick anaendesha gari aina ya Benz la dark blue

Naomba kujuzwa kama ni yeye au nimemfananisha?

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Ndo yeye huyo huko ndiyo kwao. Ni mfugaji bora wa samaki
 
Tangu astaafu ukuu wa mkoa wa Mbeya sijawahi msikia tena Mzee Said Meck Sadick

Hapa Mwanza namwona Mzee kafanana sana na Meck Sadick anaendesha gari aina ya Benz la dark blue

Naomba kujuzwa kama ni yeye au nimemfananisha?

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Ni yeye huyo mwingi sana maeneo ya Mwz hotel ila kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya sina uhakika
 
Back
Top Bottom