Huyu nimfanyeje?

zandar

Senior Member
May 27, 2013
100
18
Nime mwacha home ananpigia no#mpy kisha anasema ucpge hii no# ya mgn wajilan mi kupga kumbe jama tena yuko posta.
 
Sasa sie inatuhusu nini?
Ukiwa Huna kazi ya kufanya bwana....
 
Mtumie airtime ya kutosha ili aache tabia mbaya ya kuomba simu za watu.

Mgeni wa jiLani kuwa posta haihusu, kwani alikuambia wamemtundika kama pazia?
Nime mwacha home ananpigia no#mpy kisha anasema ucpge hii no# ya mgn wajila mi kupga kumbe jama tena yuko posta.
 
King'asti Mie wewe siku JF ikipigwa BAN Nitaandamana aisee............... sitokubali JiLani yangu nisikusome aisee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom