Ni mtoto wa mzee mmoja anaeamini katika ushirikina sana nchini. Baba ya huyu binti ni mwenyeji wa Tanga.... Baba wa mtoto huyu amewaandikia makatibu wa chama fulani kuwahimiza madiwani na wabunge walioshindwa katika viti vya ubunge na udiwani kufungua kesi mahakani,,,, Baba wa mtoto huyu ana mtoto ambae ajishinda Ubunge jimbo fulani nchini... Baba wa mtoto huyu aliwahi kuwa mkuu wa mkoa na kukomalia suala la tabia mbovu za ukahaba...... Nadhani umemjua sasa.
Angalia!
Usije mtukana Mjomba wako Makamba kwamba alisaidiwa?
Hata cheti chake tu hapo kimeandikwa Mwamvita Makamba wewe unamwingiza Dr Slaa hapo?
Blaza,Dr Slaa alisha wahi kuwa Mkuu wa Mkoa??
Hiii! Hiiii! Somo la Historia hata F hukupa wewe ulipata Z.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.