Huyu ni nani?

TIOT owner na biashara magendo ya mafuta mwenda mashariki DRC....maskani MG,hapa Dar office(Rage alishawahi kuwa mhasibu wake).....Moro United owner kabla hajaiuza....
 
Pia ni mmiliki wa chain ya Supper Markets kwenye vituo vyote vya TIOT.

He is a powerful man with connections among the axis of powers za nchi hii, Ewura walipofunga petrol station yake pale Moro on Friday moja, the following Monday lawyers wake wakafile suit under the certificate of urgency, by Wed, Petrol Station ikafunguliwa kwa amri ya mahakama, issue iliyoleta malumbano makubwa kati ya Sitta na CJ.

Inasemekana familia yao inamiliki visima vya mafuta Arabuni, meli za kuyasafirisha mafuta hayo ni zao, clearing agents ni kampuni yao. Surface transport ni malori yao, na huko DRC, ana miliki petrol stations kadhaa.

The man is filthy rich, ila pia ana roho nzuri kama walivyo matajiri wa Moro, pesa nje nje, ikitokea misiba, usafiri wa kwenda mazikoni bure na ubani wa maana.
 
pia alionekana hana hatia juzijuzi baada ya kuwa ktk ile kesi ya kuitapeli Barclays kama bilioni na ushee...
 
Mmh! CV Bab kubwa. Hayumo kwenye Chama pia huyu? In any case, tunaisubiri kwa hamu hiyo ripoti inayofanyiwa kazi na Mzee wa kazi -MmKjj. Ingekuwa sie wengine tungeshabwaga manyanga baada ya mtiririko huo wa misifa. :p
 
Huyu siyo yule jamaa aliyekuwa na kesi ya kuiswindle benki moja mamilioni ya pesa??????
 
Ndio huyo, pia anahusishwa na kuwatembelea wanaume (tena maarufu hapa mjini) kinyume na maumbile... kasaidia "chama chetu" pia
 
Pia ni mmiliki wa chain ya Supper Markets kwenye vituo vyote vya TIOT.

He is a powerful man with connections among the axis of powers za nchi hii, Ewura walipofunga petrol station yake pale Moro on Friday moja, the following Monday lawyers wake wakafile suit under the certificate of urgency, by Wed, Petrol Station ikafunguliwa kwa amri ya mahakama, issue iliyoleta malumbano makubwa kati ya Sitta na CJ.

Inasemekana familia yao inamiliki visima vya mafuta Arabuni, meli za kuyasafirisha mafuta hayo ni zao, clearing agents ni kampuni yao. Surface transport ni malori yao, na huko DRC, ana miliki petrol stations kadhaa.

The man is filthy rich, ila pia ana roho nzuri kama walivyo matajiri wa Moro, pesa nje nje, ikitokea misiba, usafiri wa kwenda mazikoni bure na ubani wa maana.
Sema ni tajiri katika matajiri hapo bongo, lakini hana uwezo wa kumiliki meli ya mafuta!!!!
 
Sasa hizi mbona ni kama dharau?. Unamaanisha Mbongo hawezi miliki meli ya mafuta?. Mbona kuna mbongo namfahamu yuko hapa hapa bongo, anamiliki private jet, ana meli, anamiliki majumba London, New York na Paris yet ni low profile, itakuwa meli ya mafuta?.

Kati ya makampuni ya mafuta takriban 50 yaliyopo nchini, makampuni yanaypleta mzigo meli nzima hayafiki 10, Tiot ikiwemo.

Nimekuwa its a family bussiness sio yeye kama yeye.
 
Tuko katika kufanyia kazi ripoti moja muhimu sana; jina moja limeongezewa:

Merei Balhaboo

Je mwamjua huyu jamaa pale Morogoro?

Huyu bwana walikuwa na mtandao mkumwa wa kuuwa wanyama maeneo ya m0rogoro na kuuza nyara hizo mashariki ya mbali, wameuwa saana wanyama wakishirikiana na waarabu wenzeke wamorogoro, na huu uhalifu walikuwa na camp yao kwenye ranc moja ya aliyekuwa Ruban maarufu wa ATC, alikufa gafla na watoto waliposhindwa kuendesha hiyo ranch wakamkodishia, huyu jamaa ndo wakawa wanaendeleza huo uharamia pamoja na watoto wa waarabu wenzie usiku
 
Tuko katika kufanyia kazi ripoti moja muhimu sana; jina moja limeongezewa:

Merei Balhaboo

Je mwamjua huyu jamaa pale Morogoro?
Huyu ni mfanyabiashara wa mafuta, owner wa TIOT.Hii kampuni ilikuwa mahususi kwa kuuza mafuta Zambia na Congo.Inaaminika mmoja wa shareholders ni Gen. Mboma ingawa siwezi kuthibitisha hilo.Ninachojua walikuwa wanapitishia mafuta bandari ya Tanga na walituhumiwa kutolipia ushuru baadae kampuni hii ikifa natural death.
 
dah, naona jina lako likiletwa jf huwezi kujificha.
ama kweli jf jina kubwa.

mwanakijiji naamini utakuwa umepata habarai uliyokuwa unaitaka
ili kuweza kuunganisha dots katika ripo yako.
 
He! Hii kesi ilishamalizika?!?
Hii kesi si nilisikia walikuwa wanashitakiwa watu wawili na wote walikuwa aquited? Yeye na bwana mmoja mzaliwa wa mkoa mmoja wa kanda ya ziwa!
Ni wezi tu hawa.
hivi Tanzania bila kuwa mwizi huwezi kutajirika?
kwa hiyo sisi tulioamua kutoiba hatuwezi kutajirika?
Maweeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
 
Huyu jamaa mwaka jana alifikishwa mahakamani na mwenzake na baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Barclays hapa nchini kwa tuhuma za wizi wa dola milioni mbili za kimarekani za benki hiyo. SIjui kesi imeishaje
 
Mmmesahau kuwa aliwahi kuwa mmiliki wa Timu ya Moro UTD aliinunua nafikiri toka kwa Alex Kajumulo.
 
Back
Top Bottom