Tugutuke
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 501
- 165
Habari zenu wana Jf hasa wa humu humu jukwaa pendwa!
Bila kupoteza muda,ninatatizwa na hili kila nikitaka kuoa au kuamua niishi na nani.
Kwa kipindi cha mwaka mmoja nilikuwa kwenye mahusiano na binti wa kingoni,tuliishi vzuri kweli japo tulikuwa tunakwazana kidogo kidogo,yule mgoni kiukweli hakuwa mtu wa kupenda vitu nisivyoviweza,alikuwa mtaratibu. Sasa wakati nipo naye kama mpenzi wangu nikaja nikaleza pembeni nikawa na binti kabila lake Muiraq ila mama yake ni mbena. Huyu binti muiraki kwa umbo la nje kampita mgoni kwa mbaali,ni mrefu,ana natural hair ndeefu,mweupe na si wa mkorogo,mzuri wa sura na shape! Kwa mgoni yeye ni mfupi mweupe kwa mbaali,ila naye ana figure nzuri.
Lakini hapa kila mtu nilimpata katika mazingira tofauti,mgoni kumpata nilihangaika saana nilimfuatilia kama mwezi hivi,lakini yule muiraq nilimtongoza J'4 asubuhi akanipa jibu J'5 na J'pili nikaomba mchezo akanipa.
Sasa bandugu,jingne huyu mgoni nilimpaga ujauzito akaja akautoa mimi bila kujua ila alipodhoofika kiafya ndo akaamua aseme ukweli kuwa aliabort. Na yule muiraq nimempa ujauzito mwezi wa 9 mwaka huu,lakini hataki hata habari ya kutoa mimba! Sasa kila mtu ana sifa tofauti,nataka nioe mmoja tu! Nimwoe yupi na nimwache yupi? Kuna story ndeefu kuwahusu lakini nimeonelea niandike kwa kifupi!
Comments wadau..