Huyu ni Muiraq vs na huyu ni Mgoni.

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Habari zenu wana Jf hasa wa humu humu jukwaa pendwa!
Bila kupoteza muda,ninatatizwa na hili kila nikitaka kuoa au kuamua niishi na nani.
Kwa kipindi cha mwaka mmoja nilikuwa kwenye mahusiano na binti wa kingoni,tuliishi vzuri kweli japo tulikuwa tunakwazana kidogo kidogo,yule mgoni kiukweli hakuwa mtu wa kupenda vitu nisivyoviweza,alikuwa mtaratibu. Sasa wakati nipo naye kama mpenzi wangu nikaja nikaleza pembeni nikawa na binti kabila lake Muiraq ila mama yake ni mbena. Huyu binti muiraki kwa umbo la nje kampita mgoni kwa mbaali,ni mrefu,ana natural hair ndeefu,mweupe na si wa mkorogo,mzuri wa sura na shape! Kwa mgoni yeye ni mfupi mweupe kwa mbaali,ila naye ana figure nzuri.
Lakini hapa kila mtu nilimpata katika mazingira tofauti,mgoni kumpata nilihangaika saana nilimfuatilia kama mwezi hivi,lakini yule muiraq nilimtongoza J'4 asubuhi akanipa jibu J'5 na J'pili nikaomba mchezo akanipa.
Sasa bandugu,jingne huyu mgoni nilimpaga ujauzito akaja akautoa mimi bila kujua ila alipodhoofika kiafya ndo akaamua aseme ukweli kuwa aliabort. Na yule muiraq nimempa ujauzito mwezi wa 9 mwaka huu,lakini hataki hata habari ya kutoa mimba! Sasa kila mtu ana sifa tofauti,nataka nioe mmoja tu! Nimwoe yupi na nimwache yupi? Kuna story ndeefu kuwahusu lakini nimeonelea niandike kwa kifupi!
Comments wadau..
 
Mmmmh, mzee unapenda sana kutotumia condom eeeeh?hebu jaribu mwingne, naye akipata mimba cheza sanda kalawe, au fumba macho uguess yupi kati yao atakufaaaa.
 
hao wote hawafai kwann wakupe chezo kabla ya ndoa ila hata wewe ninmchafu kwann utafute mwanamke mwingine na wakati huo una mngoni nyumbani? acha hizo hebu ona thamani ya hao dada zetu nao ni binadamu tusiwachezee
 
Mkuu Jerry unaonekana hata hujui unataka nini, una gamble gamble tuu,
 
Aisee ni kwanini umewatofautisha kwa kutumia makabila yao????? Ni kwann pia umetutajia mda uliotumia kumpata kila mmoja wao???? Uko serious kweli unataka kushauriwa yupi wa kumuoa au unataka kujua mitizamo yetu juu ya makabila uliyoyataja?????? Je unaweza kutuambia tofauti kati ya yule aliyekuzungusha mwezi ndio akakubali na yule aliyekubali ndani ya wiki?????
 
Wote waache maana hustahili kuwa hata na mmoja wao mpaka utakapojifunza kuheshimu mahusiano uliyomo!
Ulikuwa na mngoni ukatafuta na Mu iraqw,kesho utatafuta mzigua then mmanyema mpaka umalize makabila yote Tanzania!
Kuweza kumpa mwanamke mimba hakumaanishi umekuwa kuweza kuwa mume!
 
Aisee ni kwanini umewatofautisha kwa kutumia makabila yao????? Ni kwann pia umetutajia mda uliotumia kumpata kila mmoja wao???? Uko serious kweli unataka kushauriwa yupi wa kumuoa au unataka kujua mitizamo yetu juu ya makabila uliyoyataja?????? Je unaweza kutuambia tofauti kati ya yule aliyekuzungusha mwezi ndio akakubali na yule aliyekubali ndani ya wiki?????

hahaa bado hajautpa details za "nani mtamu zaidi" au wanalingana "utamu"
 
Jamani nawe unaamin akioa muiraq atakuwa ameolea wilaya nzima na kata zake pia?basi aje kwangu mie mtoto wa kisomali+msukumaa,ila mim kumpa dudu mpaka tufungue ndoa

Hapa ni chit chat ama jokes,ama....
 
wote mmenielewa nadhani,lakini mpo kimasihara badala ya kunijengea hoja!
 
Jamani nawe unaamin akioa muiraq atakuwa ameolea wilaya nzima na kata zake pia?basi aje kwangu mie mtoto wa kisomali+msukumaa,ila mim kumpa dudu mpaka tufungue ndoa

Akikuoa mimi utaniweka wapi? acha hizo bana au labda sikufai?
 
Back
Top Bottom