Huyu ni Muiraq vs na huyu ni Mgoni.

Poa mambo?. naona unahangaika na watu. Je mimi sikutoshi?. humu kuna wanyama wakali shaurilo...!!!

Sasa we ulienda jumla unategemea nin na huku nilipo baridi balaa,watu 8 alikua ananitembeza nione maghorofa ya humu ndan,usione wivu hajanikapuya mi saiz yako etii
 
Habari zenu wana Jf hasa wa humu humu jukwaa pendwa!
Bila kupoteza muda,ninatatizwa na hili kila nikitaka kuoa au kuamua niishi na nani.
Kwa kipindi cha mwaka mmoja nilikuwa kwenye mahusiano na binti wa kingoni,tuliishi vzuri kweli japo tulikuwa tunakwazana kidogo kidogo,yule mgoni kiukweli hakuwa mtu wa kupenda vitu nisivyoviweza,alikuwa mtaratibu. Sasa wakati nipo naye kama mpenzi wangu nikaja nikaleza pembeni nikawa na binti kabila lake Muiraq ila mama yake ni mbena. Huyu binti muiraki kwa umbo la nje kampita mgoni kwa mbaali,ni mrefu,ana natural hair ndeefu,mweupe na si wa mkorogo,mzuri wa sura na shape! Kwa mgoni yeye ni mfupi mweupe kwa mbaali,ila naye ana figure nzuri.
Lakini hapa kila mtu nilimpata katika mazingira tofauti,mgoni kumpata nilihangaika saana nilimfuatilia kama mwezi hivi,lakini yule muiraq nilimtongoza J'4 asubuhi akanipa jibu J'5 na J'pili nikaomba mchezo akanipa.
Sasa bandugu,jingne huyu mgoni nilimpaga ujauzito akaja akautoa mimi bila kujua ila alipodhoofika kiafya ndo akaamua aseme ukweli kuwa aliabort. Na yule muiraq nimempa ujauzito mwezi wa 9 mwaka huu,lakini hataki hata habari ya kutoa mimba! Sasa kila mtu ana sifa tofauti,nataka nioe mmoja tu! Nimwoe yupi na nimwache yupi? Kuna story ndeefu kuwahusu lakini nimeonelea niandike kwa kifupi!
Comments wadau..

So unachotaka tubariki ufudka wako ama
 
Tafuta shilingi halafu mmoja achague nyerere mwingine mwenge kisha irushe. Majibu uje utoe Yupi amepata. Kama unaona inakukaba Badili dini uwe na uwezo wa kumiliki wote wawili.
Ningekuwa ni Mimi Muiraq angepoteza nafasi
 
white girl naomba makazi.

Jibu haya maswali ma 3
1-we ni me or ke?
2-unaweza kuvumilia mpaka tufunge ndoa bila kunivua pichu kama hujapanga kunioa mapema?
3-unamfahamu au unamsikiaga Foshizzle??

Ukinijibu ntakupa ruksa uongee na Foshizzle
 
Sijawahi kuona mtu mshenzi wa tabia kama wewe! unaendekeza umalaya halafu unataka tukushauri nini sasa? Kwanza wewe mwenyewe umeshawajudge kwa kusema mmoja alikukubalia baada ya siku tatu, nne, wakati mwingine ulimfuatilia mwezi mzima, sielewi una maana gani hapo !!! Mi nadhani wapigie kura, andika vikaratasi viwili, kimoja cha NDIYO na kingine HAPANA, vikunje tupa chini waambie waokote. Kubaliana na matokeo.
 
Jibu haya maswali ma 3
1-we ni me or ke?
2-unaweza kuvumilia mpaka tufunge ndoa bila kunivua pichu kama hujapanga kunioa mapema?
3-unamfahamu au unamsikiaga Foshizzle??

Ukinijibu ntakupa ruksa uongee na Foshizzle
legeza masharti tumalize biashara.niko serious round hii.
 
Back
Top Bottom