Huyu ni mtu anayewania nafasi ya NEC kwa CCM

Hivi wewe huna kazi ya kufanya? Siasa huwezi na hutakaa uweze siasa..watu wanaokushauri kuwa wewe bonge la politician wanakufanganya...usifikiri kuwa mnene na likitambi ndo factors za kuwa mwanasiasa..au unafhani komba kawa mwanasiasa kwa ajili ya unene..
 
- SAHIHISHO: NYUMBA AMEJENGA KINYEREZI, ALIIANZA KABLA HAJAMUOA MKE WAKE, AMBAYE ALIMUOA MWAKA 1995, NA MKE WAKE HAKUWA NA KAZI MPAKA MWAKA 2000, BY THEN NYUMBA ILIKUWA TAYARI NA INAKARIBIA KUISHA, NAJUA NI MYAKYUSA MWENZAKO NA HII NI AINA FLANI UA PR MMEAMUA RECENTLY KUIANZISHA KUMCHAFUA JAMAA; UKWELI NI KWAMBA NYUMBA NA SHAMBA NI MALI YAKE NA NDIVYO HATA HATI INAVYOSEMA.

- JAMAA AMEANZA UBAHARIA HATA MKE HAJAFIKA ULAYA, NA NDIYE ALIYEMLETA MKE US, BY THEN JAMAA ALIKUA US FOR 10 YEARS TAYARI, INFACT ANAYEISHI KWA KUDANDIA MKE NI WEWE KAMA UONGO SEMA UNAFANYA KAZI WAPI BRO? AU UNAFANYA KAZI FBI KAMA UNAVYOWADANGANYA WATU?

- HALAFU KUMBUKA HII NI NYUMBA YA PILI JAMAA KUJENGA SIO YA KWANZA, NA ILE YA KWANZA ULIIJENGA WEWE UKIWE MKE WAKE AU WHAT? UNAJUA HUKU MJINI WANAUME WA AINA YAKO HUWA WANAVALISHWA HELENI PUANI, KANGA NA USHANGA KIUNONI!!

eS!

We Ubaharia umeufanya sana Kigoma na mimi nilikupiga sana tafu. Kweli ni wewe uliyemvi=uta demu uko @NYC lakini wakati wewe ukiwa busy na kujikomba kwa akina Migiro yeye alikuwa anahangaika mwishowe akaona bora akuteme hata kama ukitaka kujiua mara ya pili basi at least utakuwa umekuwa mtu mzima. Nyumba yenyewe unayosema nyufa kibao hivi mnakwendaga huko USA kufanya nini.

Ngoja aje dada yangu mnyakusa mwenzangu tukaizibe ufe itupatie kitu kidogo wewe Mundari + Mugogo endelea na mademu za watu. Wewe unarisha pumba wenzio wanakamua maziwa!
 
Atakayempa nafasi ndiye wa kulaumiwa. Nawapongeza Wabunge walipomkataa asionekane kutuwakilisha katika Bunge la Afrika Mashariki.
 
Let us discuss issues n not lives...he knows better what he is doing! Chama chake ndo kinatakiwa kiangalie credibility yake endapo wataamua kumsimamisha kugombea anything...
 
5dba17f2-f377-4147.jpg


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Wako kwenye SAUNA.. sioni tatizo..
 
Mnajua baharini mademu hakuna sasa kwa kuwa yuko nchi kavu analipizia na kipindi kile alivyokuwa akiwakosa!
 
Back
Top Bottom