Huyu ni Mkuu wa Majeshi wa Uganda au?

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,703
20,606
Jana nmeona mwanadada mrembo Ila kutokana na lugha gongana sijaelewa mwenye clear information atuambie je huyu mdada ndiyo mkuu wa MAJESHI au ?

Na je Kuna uwezekano mwanamke kuwa special force?

Naombeni maelezo yaliyoshiba Wana jamiiforum
IMG_20220420_113530.jpg
 
CDF Wilson Mbasi Mbadi
General_Wilson_Mbasu_Mbadi.png



General Muhoozi Kainerugaba Kijana wa Museveni yeye ameachia ngazi juzi akiwa bado kijana wa miaka 48, alizaliwa Dar, Tanzania

EzkfafcWEAABDjZ.jpg



Ametangaza uhamuzi huo... ikisemekana anakuja kuchukua viatu vya baba yake rais museveni
mhoz.JPG
 
Huyu jamaa ..poyoo kweli ati anasema the greatest military in da world ... 😂😂
 
Back
Top Bottom