Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,589
- 217,979
Huyu ni mgombea ubunge wa jimbo la Kilolo kwa tiketi ya Chadema Jully Mpugulla akiomba kura kwa wananchi.
2015,mlisaidiwa na ukawa. Safari hii hata wabunge 10 mkipata, shukuruni Mungu. Mmetepeta Sana, hamna Sera za kutuambia mmebaki kuomba huruma za wananchi tuwachague. Mtakula jeuri yenu.CCM mwaka huu watapata majimbo yale waliyopitishwa na tume ya uchaguzi bila kupigiwa kura kinyume cha Katiba .
Mengine yote watapoteza...
Utakuwa na kichwa kidogo huelewi anachosema Lissu na wagombea wengine wa CDM, hao unaowaona hapo kwenye picha wanaelewa ndio maana wamehudhuria, na bahati nzuri wapo mikoa yote ya Tz Bara na visiwani.2015,mlisaidiwa na ukawa. Safari hii hata wabunge 10 mkipata, shukuruni Mungu. Mmetepeta Sana, hamna Sera za kutuambia mmebaki kuomba huruma za wananchi tuwachague. Mtakula jeuri yenu.
Upinzani ni watu sio polisi mnaolingia nyie maccm mkienda bila mbeleko hata majimbo 30 amfikishi endelea kujipa moyo na kukalili kwamba kila siku ni jpili.2015,mlisaidiwa na ukawa. Safari hii hata wabunge 10 mkipata, shukuruni Mungu. Mmetepeta Sana, hamna Sera za kutuambia mmebaki kuomba huruma za wananchi tuwachague. Mtakula jeuri yenu.
Sababu wameachiwa mzigo wa kuhudumia familia baada ya waume wengi kusomeshwa namba na awamu dhalimuWanawake wamekuwa na mwamko wa kusikiliza kampeni kukiko miaka yoyote ile. Jr hii ni dalili mbaya kwa ccm?
Tutanunua ndege 100 kila wilaya iwe na ndege yakeHahahaaaa!
So mkishinda mtawajengea flyover na maji 24/7na kodi hawatalipa?
Hahaaaaa kajengeni ofisi kwanza na mtuambie pesa za ruzuku mnapeleka wapi.Tuta
Tutanunua ndege 100 kila wilaya iwe na ndege yake
Ni Nani atumiaye vibaya Kodi zetu Kama sio awamu hii Kodi zetu si salama zinatumikaje mtu na mjomba wake ndo wanajua.Hahaaaaa kajengeni ofisi kwanza na mtuambie pesa za ruzuku mnapeleka wapi. Viwanja mtajenga sasa ndio iwe misused of taxpayers money kama mnavyoimba humu kiwanja cha chato?....
Mnatembeza bakuli la nini sasa!Ni Nani atumiaye vibaya Kodi zetu Kama sio awamu hii Kodi zetu si salama zinatumikaje mtu na mjomba wake ndo wanajua.
Ruzuku inagharamia kampeni we uoni nyomi la bila fiesta
Vicoba vyote hali mbaya na wanaume wammewakimbiaWanawake wamekuwa na mwamko wa kusikiliza kampeni kukiko miaka yoyote ile. Jr hii ni dalili mbaya kwa ccm?
Pale Kilolo kuna Jamaa anaitwa Brian Kikoti alikuwa Chadema, alikubalika sana 2015, wengi waljvutiwa sana na Sera zake, Alikimbiza sana 2015, This time akahamia ccm akidhani ndio itakuwa rahisi Kwake, wajumbe wamefanya yake, sijui anajiskiaje anavyoona nyomi hiyo, ccm imetuchosha sana wana Kilolo especially that useless Mbunge mwamoto.Huyu ni mgombea ubunge wa jimbo la Kilolo kwa tiketi ya Chadema Jully Mpugulla akiomba kura kwa wananchi View attachment 1574819View attachment 1574820View attachment 1574821
Kukuzugeni nyie msitumbambike kesi pesa za kampeni tumetoa wapi,cdm haijawahi pesa kuwa Ni tatizo,hio michango hata kujaza mafuta au kulipia tu hotel hazitoshiMnatembeza bakuli la nini sasa!
Najua uko job unapiga campaign, good day sir.
2015,mlisaidiwa na ukawa. Safari hii hata wabunge 10 mkipata, shukuruni Mungu. Mmetepeta Sana, hamna Sera za kutuambia mmebaki kuomba huruma za wananchi tuwachague. Mtakula jeuri yenu.
Waliingizwa Chaka na mzee mawe wanajuuta Sana kuungishwa juhudi japo walionywa.Ukiwa mwanasiasa nenda na upepo wa wananchi,na si dola.Mwenye mtaji wa watu ndie anaemiliki dola,case study Maalimu vs le profeselePale Kilolo kuna Jamaa anaitwa Brian Kikoti alikuwa Chadema, alikubalika sana 2015, wengi waljvutiwa sana na Sera zake, Alikimbiza sana 2015, This time akahamia ccm akidhani ndio itakuwa rahisi Kwake, wajumbe wamefanya yake, sijui anajiskiaje anavyoona nyomi hiyo, ccm imetuchosha sana wana Kilolo especially that useless Mbunge mwamoto
Bora Hakuna matangazo mbashara ya wapinzani kwenye TV ambapo unaangalia anachotaka mwandishi wa habari 'edited content'Utakuwa na kichwa kidogo huelewi anachosema Lissu na wagombea wengine wa CDM, hao unaowaona hapo kwenye picha wanaelewa ndio maana wamehudhuria, na bahati nzuri wapo mikoa yote ya Tz Bara na visiwani.