Huyu ni mdudu Tandu? ana madhara gani?

walokole wengi sana ni wachawi..... (MLOKOLE NI MTU ANAYEJIFANYA ANAJUA MAMBO YA ROHONI SANA)

Na hili nalo niachie nilifanyie utafiti, you possibly could be right or wrong siwezi ku-rule out mda huu!. Wanaweza kuwa siyo, except kwamba "uchawi" ni portion tu ya kile kilichochakachuliwa kutoka kwenye knowledge sahihi ya Mungu. Kumbuka kuwa Shetani alikuwa Malaika Mkuu Mbinguni, na alikuwa Special kwa ajili ya Sifa na Ibada.Malaika Gabriel ambaye yeye yupo ana-operate mpaka muda huu, ni Special kwa ajili ya kuleta jumbe kutoka Mbinguni kuja Duniani, na malaika Mikaeli, yeye ni Specia kwa ajili ya Vita.

Kwa ufupi tu anachofanya Shetani tuseme ni kama mtu umemfundisha kupika ugali nyumbani ili watoto wako wale. Huyo mtu akaasi akawa anapika ugali kama kawaida halafu kwenye maji ya kusongea ugali anaongeza sumu ya panya. Knowlegde yote wanayotumia wachawi imetokana na knowledge aliyoipata Shetani kutoka kwa Mungu, halafu akaamua kuichakachua. Ndiyo maana ukikuta kwa mfano, mtu mchawi anayejua pia maandiko matakatifu, huyo ni mbaya zaidi kuliko Mganga wa Kienyeji au mchawi anayeogopwa Bagamoyo nzima, ila ambaye hajui chochote kuhusu Biblia. Shetani anachofanya ni kutumia knowledge ya Mungu halafu anaongeza manuio ambayo ni negative kwa ajili ya kuleta madhara, au ana-negate neno la maandiko matakatifu kwenye Biblia. Kwa mfano, Mungu aliwaambia Adam na Hawa kuwa wakila tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya WATAKUFA HAKIKA. Shetani yeye akaja aka-negate neno hilo na kuwaambia HAKIKA HAWATAKUFA, na aliya-reverse maneno hayo. Neno alilotamka Mungu mwisho, yeye ndilo aliloanza nalo, na kumalizia na lile aliloanza nalo Mungu.

Kwa uhakika tu ni kwamba ukijikita zaidi kwenye kumtafuta Mungu na njia zako zikawa zimenyooka na ukawa huna mchanganyiko wa kitu kingine chochote kile isipokuwa Mungu peke yake, utamjua kila mtu alivyo, hakuna atakayeweza kujificha kwako, na possibly kwa mtu ambaye hajui maandiko matakatifu, anaweza akakuona wewe ni mchawi zaidi. Could be Walokole wanaonekana kuwa ni wachawi kutokana na fact hii. Hata hivyo sikubishii hoja yako, given time nitakuja kujua ukweli wa claims unazojaribu ku-raise, kama ziko sahihi ama la! Ubarikiwe sana
 
Huyu mdudu amewahi ningata zaidi ya mara tatu wa huku mjini hawana sumu ila maumivu yake sidhani kama yanelezeka. Wa huku mjini wanakuachia tu maumivu basi lakini wa sehem kama jangwani huko ndio wana sumu kali sana
 
Kwa uhakika tu ni kwamba ukijikita zaidi kwenye kumtafuta Mungu na njia zako zikawa zimenyooka na ukawa huna mchanganyiko wa kitu kingine chochote kile isipokuwa Mungu peke yake, utamjua kila mtu alivyo, hakuna atakayeweza kujificha kwako, na possibly kwa mtu ambaye hajui maandiko matakatifu, anaweza akakuona wewe ni mchawi zaidi. Could be Walokole wanaonekana kuwa ni wachawi kutokana na fact hii. Hata hivyo sikubishii hoja yako, given time nitakuja kujua ukweli wa claims unazojaribu ku-raise, kama ziko sahihi ama la! Ubarikiwe sana

Ni kweli. Dhana ya kiroho ni pana sana kuliko huyo mchangiagi alivyoibana tu kwenye 'ulokole' na ulimwengu wa roho upo pia na unafanya kazi kwa mazuri na mabaya.

Asiyejua hilo anakosa mambo mengi sana.
 
Baada ya King Kong kunipa jina nimecheki Google.

Wanasema wanasaidia kuua wadudu wengine kama mende na kwamba wanapokuuma unaweza pata maumivu ila yanaisha ndani ya siku mbili.

Wanasema specie hii ya wadogo hawana sumu ya kukuua!

Wanadai ni vizuri kuwaacha, unajua tena mambo ya mabeberu. Kumbe Wajapan wanawafuga kama pets.
Hapa mkuu nimekusoma na umenifungua macho maana nyumban kwangu kuna kipindi huwa kunatokea mende sana.Na kipindi hiki lazima nitakutana na tandu ndani!!
 
Usiue ovyo Viumbe hai, tambua kuwa kila kiumbe ana haki ya kuishi. Endapo kiumbe kaingia kwenye himaya yako usimdhuru bali mtoe na kumweka kwenye mazingira wezeshi ya yeye kuishi, ama la muite AFISA MALIASILI WA HALMASHAURI ndizo kazi zao za Uhifadhi. Zingatia ushauri huu ili tusitokomeze baadhi ya Viumbe. Nowdays hata kumuona kobe imekuwa nadra, mijusi, vippepeo, nyigu nk hiii yote ni kutokana na Elimu duni ya Viumbe tuliyonayo hasa Kuwaua viumbe pasipo kuwa na matumizi nao. Utakuta Watoto wanaua panzi, mijusi, ndege nk with no reason. Wizara husika imelala fofoooooo.
Huku maliasili wanadeal na mkaa....

Hebu watutolee mbu maana malaria imezidi
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍

Mie niliwahi kuumwa na tandu usiku nikiwa nimelala niliogopa sana. Maumivu yake hayakuwa makali sana na siafu maumivu ni makali kuliko ya tandu. Hata hospital sikwenda kwa kuwa maumivu yalikuwa si makali kihivyo.

Baada ya King Kong kunipa jina nimecheki Google.

Wanasema wanasaidia kuua wadudu wengine kama mende na kwamba wanapokuuma unaweza pata maumivu ila yanaisha ndani ya siku mbili.

Wanasema specie hii ya wadogo hawana sumu ya kukuua!

Wanadai ni vizuri kuwaacha, unajua tena mambo ya mabeberu. Kumbe Wajapan wanawafuga kama pets.
 
Baada ya King Kong kunipa jina nimecheki Google.

Wanasema wanasaidia kuua wadudu wengine kama mende na kwamba wanapokuuma unaweza pata maumivu ila yanaisha ndani ya siku mbili.

Wanasema specie hii ya wadogo hawana sumu ya kukuua!

Wanadai ni vizuri kuwaacha, unajua tena mambo ya mabeberu. Kumbe Wajapan wanawafuga kama pets.
eti wajapan. we jamaa muongo sana
 
Kwa mara ya kwanza nimekutana nae leo mida ya sa moja jioni. Ni baada ya mvua kunyesha jana leo natoka nje namuona huyo barazani kwa spidi kweli...nimemsukuma na fagio akashuka chini na kuelekea muelekeo mwingine.... Ndo kilicho nifanya nimtafute huku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom