Huyu ni Kibaka tu! Mafisadi huwa wanafanyajwe vile??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ni Kibaka tu! Mafisadi huwa wanafanyajwe vile???

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kiganyi, May 2, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  dah! mawaziri wetu wezi wanapeta mitaani lakini wezi wa kuku wanachomwa moto!
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Umesahau mkuu?Labda nikukumbushe tu,huwa wanapigiwa ngoma za kukaribishwa wanapotembelea sehemu,wakati mwingine hupigiwa vigelegele na makofi kwa furaha na kuna sehemu nyingine watu huwatandikia mazulia mekundu au mavazi kama vile kanga na vitenge wasiguswe na vumbi.Hayo ni baadhi tu ya wanayofanyiwa mafisadi maana yapo mengi zaidi..
   
Loading...