Huyu ni chakula ya watu?

1456034_10152040669527020_1025743819_n.jpg

jini mputuko
 
Kuna siku nlienda pahali nkamkuta shoga maarufu zanzibar anaitwa sabri bachan anapika....alinichefua zaidi aliponiuliza eti anti unatumia udi gani eti kaupenda hrufu yake .....
usingelijali weye ungemtajia tu kitu gani bana..
 
Kuna wakati fulani nchini China jijini Guangzhou na HongKong kulikuwa na shoga mmoja mzaliwa wa Zenji alikuwa aitwa Ally...
Yule bwana inasemekana alikuwa kaletwa China na bwana wake na huko alifunguliwa biashara ya kujipikilisha, na shoga yule alikuwa apika vyakula vya Kitanzania.

Kuna siku nlienda pahali nkamkuta shoga maarufu zanzibar anaitwa sabri bachan anapika....alinichefua zaidi aliponiuliza eti anti unatumia udi gani eti kaupenda hrufu yake .....
 
Kuna wakati fulani nchini China jijini Guangzhou na HongKong kulikuwa na shoga mmoja mzaliwa wa Zenji alikuwa aitwa Ally...
Yule bwana inasemekana alikuwa kaletwa China na bwana wake na huko alifunguliwa biashara ya kujipikilisha, na shoga yule alikuwa apika vyakula vya Kitanzania.
acha muende kula mibiliani mipilau mzee kitu ubwabwa nazi.. au sio mkuu..
 
Back
Top Bottom