Huyu ndio mtu pekee Rais wa Jamhuri hawezi gusa!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Gavana wa Benki Kuu, huyu ndiye Kiongozi pekee unaweza hata kusema ana nguvu sawa na Rais wa JMTZ, ingawaje anateuliwa na Rais wa JMTZ lkn ana nguvu zisizo onekana, huko kwingine kote Rais wa JMTZ anaweza kuteua na kupindua atakavyo ila kwa Gavana wa Benki ni breki, ...
 
Wewe dada Barbarosa, unarukwa si bure. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikatiba, anaweza hata kuifuta Benki Kuu ya Tanzania. Seuse kumtumbua Gavana!? Masuala usiyoyajua si vyema ukayaletea porojo.
BOT iko kikatiba na kisheria hivyo hilo la raisi kuifuta bila kubadili vifungu vya kikatiba hana ubavu huo
 
Gavana wa Benki Kuu, huyu ndiye Kiongozi pekee unaweza hata kusema ana nguvu sawa na Raisi wa JMTZ, ingawaje anateuliwa na Raisi wa JMTZ lkn ana nguvu zisizo onekana, huko kwingine koote Raisi wa JMTZ anaweza kuteua na kupindua atakavyo ila kwa Gavana wa Benki ni breki!

Na ukitaka regime change, jaribu kugusa Gavana wa Benki KUU, ...
Hivi kumbe Daud Balali hakuwa Gavana?

Kwahiyo Kikwete alitenguwa uteuzi wa nani?
 
Mhhh,inamaana huyo Gavana ana nguvu kubwa na anaogopwa kuliko mkuu wa Mkoa?ebu kuweni serious nyie..!mie nawambia mtu ambaye hawezi kuguswa na mtukufu ni "MKUU WA MKOA" tu basi.Wengine tupa kule!
For the avoidance of doubt ilibidi uainishe ni Mkuu wa Mkoa gani huyo?
 
Wewe dada Barbarosa, unarukwa si bure. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikatiba, anaweza hata kuifuta Benki Kuu ya Tanzania. Seuse kumtumbua Gavana!? Masuala usiyoyajua si vyema ukayaletea porojo.
Si wanaamka kila uchao na mkakati mpya wa kumvuruga au kumchanganya rais kwa matarajio ya kumtoa relini.
So tusiwashangae sana hawa ni kawaida yao.
Anyway mbona hawaongelei ACACIA tena?
Au ndio mpaka TL apone?
 
Back
Top Bottom