OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Aug 24, 2011 52,035 114,456 Jul 17, 2016 #2 Sugu moto chini,dawa ya jeuri ni kiburi
Ngonidema JF-Expert Member Jul 30, 2015 2,708 2,677 Jul 17, 2016 #3 Wanga wote nawapa dole la kati hahahaaaa!!
Weston Songoro JF-Expert Member Feb 17, 2014 2,793 1,083 Jul 17, 2016 #4 Hahahahahaaaaa! Halafu wakipewa adhabu Bungeni wanasema Dr Tulia anakandamiza demokrasia Bungeni
Mandingo JF-Expert Member Sep 22, 2011 4,460 3,774 Jul 17, 2016 #5 Mi natakaaa freedommmm!!!!!yeah Safi tu magamba yamezidi kuzingua!
Mandingo JF-Expert Member Sep 22, 2011 4,460 3,774 Jul 17, 2016 #7 Weston Songoro said: Hahahahahaaaaa! Halafu wakipewa adhabu Bungeni wanasema Dr Tulia anakandamiza demokrasia Bungeni Click to expand... Na yule alisema siongei na mbwa hapo vipi? Dawa ni kuwapa la kati tu!
Weston Songoro said: Hahahahahaaaaa! Halafu wakipewa adhabu Bungeni wanasema Dr Tulia anakandamiza demokrasia Bungeni Click to expand... Na yule alisema siongei na mbwa hapo vipi? Dawa ni kuwapa la kati tu!
P Phillipo Bukililo JF-Expert Member Dec 29, 2015 18,487 13,612 Jul 17, 2016 #9 Iwapo mamvi angeingia Ikulu jamaa angekuwa waziri wa habari, angekuwa ndio Nape Nnauye wa serikali ya upinzani. Patamu hapo.
Iwapo mamvi angeingia Ikulu jamaa angekuwa waziri wa habari, angekuwa ndio Nape Nnauye wa serikali ya upinzani. Patamu hapo.
Countrywide JF-Expert Member Mar 2, 2015 20,641 32,387 Jul 17, 2016 #10 wanasema eti kaishia form four
Mpunilevel JF-Expert Member Sep 14, 2015 3,140 1,871 Jul 17, 2016 Thread starter #12 Kukabidhiwa nchi hii kwa tabia hizi mnazoonyesha ni mpaka Yesu arudi na si vinginevyo. Mkibahatisha mwisho ubunge, kuunda serikali ng'o.
Kukabidhiwa nchi hii kwa tabia hizi mnazoonyesha ni mpaka Yesu arudi na si vinginevyo. Mkibahatisha mwisho ubunge, kuunda serikali ng'o.