Huyu ndo anamfunika piere kwa sasa


george aloyce

george aloyce

Member
Joined
Aug 22, 2017
Messages
84
Points
125
george aloyce

george aloyce

Member
Joined Aug 22, 2017
84 125
Kwa sasa zamu ya piere imepita macho ya watanzania yapo kwa huyu jamaa anajiita mrevi WA dunia, kiukweli jamaa anachekesha sana itazameni vidio yke
 
shinji jr

shinji jr

Senior Member
Joined
Jun 9, 2016
Messages
197
Points
250
Age
22
shinji jr

shinji jr

Senior Member
Joined Jun 9, 2016
197 250
Nadhan pierre likwid alikua na bahati tu na matukio yakaunganika akawa maarufu mjini. Sjui kama na huyo unae tuambia atakua na hio bahati maan status ya unywaji bado anaishikilia pierre.
 

Forum statistics

Threads 1,294,039
Members 497,789
Posts 31,163,053
Top