Huyu ndiyo MTU mwenye tattoo nyingi zaidi duniani

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,603
Mwanaume mmoja raia wa Uingereza Paul Allen anasemekana kuwa ndiye binadamu mwenye tattoo nyingi kuliko mtu yeyote dunia ambazo kwa sasa ziko 812 katika kila sehemu ya mwili wake hadi sehemu za siri na sehemu pekee kwenye mwili wake isiyo na tatuu ni ndani ya macho tu.

Ameeleza kuwa alianza kujichora tattoo hizo akiwa na umri wa miak 49 wiki moja baada ya mama yake mzazi kufariki na tangu hapo hajawahi tena kuacha wala kuridhika na wingi wa tattoo hizo zilizo mwilini mwake.

Ameongezea pia kuwa hadi sasa ametumia zaidi ya Euro 15, 000 (Takriban Tsh 40 milioni) kama gharama ya kuchora tattoo hizo.
40c5a82d39e53519d63c8b4595b9ccd8.jpg
7c8a12bf49e5e657a1a5bf88f22456bb.jpg
dc0382219fae33fb89462f136aa82ea0.jpg
aea237014632aba7331e3a58eb80e5e6.jpg
bbb8336a03d5f69eacc9457a1e99c69d.jpg
cc3e5cccb9b0f1440fcefb658118be03.jpg
7d684840ca294be254f2efe00197849e.jpg
 
Kuwekeza tshs millioni 40 za kitanzania kwa kujichora tattoo ni dalili ya kutokuwa na mipango endelevu ya kimaisha.
 
Kuwekeza tshs millioni 40 za kitanzania kwa kujichora tattoo ni dalili ya kutokuwa na mipango endelevu ya kimaisha.
mama mdogo what is a reason of life its just happines
if you think what you are doing made you happy just do it no matter how costfull is
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom