Naona mmemsifia sana kuwa ujenzi na Mwakyembe, eti mnawaita "wapiganaji" mwaka huu tuna kazi kwelikweli!! Watu mnapenda sana kujidanganya nyiyi. Mmesahau huyu Magufuli ndiye aliyeuza nyumba za serikali? Mwakyembe si ndiye yule aliyesoma ripoti ya kamati teule bila kutangaza maslahi yake katika mradi wa kufua umeme wa upepo kama kanuni zilivyo taka? mnafikiri alifanya vile kwa bahati mbaya? Wote hawa wachumia tumbo tu, hakuna kipya hapo, pasentiz ni kama kawa.