Huyu Ndiye Rafiki Pekee wa Rais wa Korea Kaskazini

ukitaka kujua wabongo wengi akili zetu fupi unaona mijitu humu jf inakomaa kwamba rodman shoga,wabongo maisha yakujishukushuku majungu umebea umbea ndo tuna penda kweli
 
Rodman sio shoga wa Bongo acheni kuleta habari za vijiweni. bundle zenu badala mtumie kwa kusoma na kujifunza vitu vingi sana , kwenye mitandao mnaishia , umbe , udaku na uongo,mbona habari za watu maarufu zipo waziwazi tuu mitandaoni. Huyo Rais wa Korea ni mpenzi mkubwa sana wa Basketball na tokea anaanza kupenda mchezo huo , mchezaji aliyekua anamvutia na kumpenda sana mpaka hata chumbani kwake yeye ni picha za Denis Rodman katundika , hivyo kwa kupitia nafasi yake hiyo kuwa mtoto wa Rais wakajenga urafiki , na ndio marafiki mpaka leo. Kwenye birthday alimualika Rodman na kumuomba Rodman aende na baadhi ya wachezaji waliostaafu kama yeye wakacheze mchezo na timu ya Korea siku ya Birthday . Kitendo ambacho kiliwakera sana Wamarekani.
 
ukitaka kujua wabongo wengi akili zetu fupi unaona mijitu humu jf inakomaa kwamba roadman shoga,wabongo maisha yakujishukushuku majungu umebea umbea ndo tuna penda kweli
Unajua hapa bongo ukionekana mwanaume umevaa kipini puani wanajua wewe ni shoga
 
Unajua hapa bongo ukionekana mwanaume umevaa kipini puani wanajua wewe ni shoga
hatujiamini ndio shida kubwa sana,alafu hatupendi maisha ya kuwa huru mwanaume anaita wanaume wenzie mashoga wakati yeye ndio kinara wakufatilia maisha ya wanaume wenzie sasa hapo nani shoga??
 
Back
Top Bottom