Vsanene
Senior Member
- Feb 26, 2017
- 100
- 83
Baada ya Pablo kufa kundi lake lilipungua nguvu walipoteza vijiwe vyao vingi vya kuuzia drugs na watu wake wakakimbilia kujiunga na kundi la Cali hvy Kali likawa na nguvu na kuogopeka sana.Olympus mzee unasikia series ya narcos inaelezea vzur mno, vyombo vya habar sio vijinga kumsema pablo
Sasa haikuwa tabu sana kwa serikali ya Mexico kwa kushirikiana na Marekani kuwa kamata viongozi wa juu wa Carl cartel na kulisambaratisha kundi hilo kama walivyopata tabu kumsambaratisha Pablo na kundi lake.