Huyu ndiye Rafael Caro, achana na Pablo Escobar

Vsanene

Member
Feb 26, 2017
87
125
Olympus mzee unasikia series ya narcos inaelezea vzur mno, vyombo vya habar sio vijinga kumsema pablo
Baada ya Pablo kufa kundi lake lilipungua nguvu walipoteza vijiwe vyao vingi vya kuuzia drugs na watu wake wakakimbilia kujiunga na kundi la Cali hvy Kali likawa na nguvu na kuogopeka sana.
Sasa haikuwa tabu sana kwa serikali ya Mexico kwa kushirikiana na Marekani kuwa kamata viongozi wa juu wa Carl cartel na kulisambaratisha kundi hilo kama walivyopata tabu kumsambaratisha Pablo na kundi lake.
 
manonawire

JF-Expert Member
Dec 31, 2017
950
1,000
Kumbe n baada ya pablo kufa OK nimekupata
Baada ya Pablo kufa kundi lake lilipungua nguvu walipoteza vijiwe vyao vingi vya kuuzia drugs na watu wake wakakimbilia kujiunga na kundi la Cali hvy Kali likawa na nguvu na kuogopeka sana.
Sasa haikuwa tabu sana kwa serikali ya Mexico kwa kushirikiana na Marekani kuwa kamata viongozi wa juu wa Carl cartel na kulisambaratisha kundi hilo kama walivyopata tabu kumsambaratisha Pablo na kundi lake.
 
Olympus

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
2,657
2,000
Olympus mzee unasikia series ya narcos inaelezea vzur mno, vyombo vya habar sio vijinga kumsema pablo
Pablo alikua anapenda publicity sana that was his strength and weakness at the same time....Cali Cartel wengi walikua ni watu wa behind the scene....Juu wanaigiza kama legal businessmen kumbe fortune yao ni Narcotics
 
Olympus

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
2,657
2,000
We achana kabisa na Medelin cartel ya Pablo hao Cali washawahi kuwa wafanyakazi wa Pablo baadae wakajitenga na kuanzisha kundi lao la Cali na bado hawakuwa na nguvu kivile kundi la Cali lilishirikiana na serikali ya mexico pamoja na mmarekani kulivunja kundi la medelin.
Ndo maana unaona Cali cartel inakuja kuwa na nguvu baada ya Pablo kuuliwa
 
Gien Banks

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
243
1,000
Babu wengi watakuja na kuondoka ila achana kabisa na Pablo Escobar Gaviria. Ule moto mwingine

Jamaa mpaka ali offer kulipa deni la serikali ya Colombia. Unafanya masihara kuwa Top 5 ya matajiri duniani na hapo ni mali zake zinazotambulika acha ambazo hazijulikani. Mtu alikua na Godown limeshehena Dollar Bills na sio moja achana na madini aliyoficha anapojua yeye.

Ma.nina.
 
kalipeni

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
1,336
2,000
Ndugu khamis kilo sijui umetumia vigezo Gani kumlinganisha rafael Carol quintero na Pablo Escobar.
Yani muuza bange vs muuza cocaine kweli!!!?
Ata kifungo chake alichofungwa hakikua kwaajili ya drug trafficking kilitokana na mauaji ya mkuu wa kitengo Cha kuzuia na kupambana madawa ya kulevya (drug enforcement adminstration)-DEA bwana enrique 'Kiki' camarena pamoja na mwandishi John clay walker
ata serikali ya Mexico walipomuachia baada kukaa jela kwa miaka 28 bado marekani wanamsaka kwa sababu hiyo na si drug trafficking.
iyo inaonyesha namna Gani hakua mtata Sana kwenye angle izo
 
Vsanene

Member
Feb 26, 2017
87
125
Babu wengi watakuja na kuondoka ila achana kabisa na Pablo Escobar Gaviria. Ule moto mwingine

Jamaa mpaka ali offer kulipa deni la serikali ya Colombia. Unafanya masihara kuwa Top 5 ya matajiri duniani na hapo ni mali zake zinazotambulika acha ambazo hazijulikani. Mtu alikua na Godown limeshehena Dollar Bills na sio moja achana na madini aliyoficha anapojua yeye.

Ma.nina.
Ogopa muhalifu anakaa chini na serikali na kuiambia kama mnataka kunifunga basi acheni nijenge gereza langu mwenyewe halafu walinzi wake ndo ma askari wa gereza
Achana kabisa na El Patron Pablo
 
Military Genius

JF-Expert Member
Mar 3, 2019
736
1,000
Rafael Caro Quintero

Achana na Pablo Escobar, kuna huyu gwiji mwingine wa kuuza madawa ya kulevya kutoka Mexico, huyu anaitwa Rafael Caro Quinteto maarufu kama "Narco of Narcos" au ukipenda muite "Chapo" (Jina la Chapo lilianzia kwake). Alizaliwa October 3 1952 huko Badiraguato, Sinaloa nchini Mexico.

Rafa alipokuwa mdogo taratibu alianza kupanda zao la bangi kwenye shamba la kaka yake Jorge Luis. Sio chini ya miaka 5 na yeye akafanikiwa kununua mashamba kadhaa na kuanza kujikita zaidi kwenye biashara hiyo.
Lakini baadae serikali ya huko Sinaloa ilifanya msako mkali na kuchoma mashamba yote ya bangi huko Sinaloa. Hali hiyo ilipelekea Rafa pamoja na washirika wenzake akiwemo Miguel Angel Felix Gallardo kuhamia kwenye jimbo la Guadalajara ili kuendeleza biashara yao. Baada ya kufika huko kazi ya kupata connection za madoni mbalimbali wa biashara hiyo ilikuwa chini ya usimamizi wa mtaalamu Miguel Gallardo, huku Rafa yeye akijikita zaidi kwenye kilimo cha bangi.

Rafael alifanikiwa kupata mahali ambapo palikuwa na asili ya ukame na ni mbali kwa maaskari kupadhania wala kufika, eneo lililokuwa na zaidi ya hekari 2500. Na eneo lote hilo likajaa kwa zao hilo la bangi!!! Wakishirikiana pamoja na Gallardo wakaanzisha kundi lao la Guadalajara Cartel huku wakisambaza mihadarati Mexico yote mpaka nchini Marekani!

*Hii ni sehemu ya kwanza, ngoja sehemu ya pili*
View attachment 1235667
Mzee pablo mtu mwingine sometym alkua anajihisi Yy ni Mungu maana akisema mtu flan afe ata kesho anawez asiione aliangusha ndege inshot pablo alkua mtu mwingne ilifkia hatua kwa nwaka anapoteza us dollar 2500kununua rubber band za kufungia ela
 
Tomahawk

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
218
250
Mtu hatari zaidi kuliko wote alikuwa Miguel Angel Felix Gallardo, uyo ndo alikuwa anasafirisha cocaine toka Colombia tu Marekani, Pablo anampa Galado na Galado anaingiza America, El Chapo alikuwa driver wa Galado, baadae amkamzunguka boss wake kwa Pablo...uyo Rafa Cha mtoto na alitawaliwa na utoto mwingi Sana.
 
Nasema hivi...

Wewe bado humjui Pablo Escobar Gaviria.

Ongelea Wengine.

Hivi unajua Pablo alifika a point ana wapiga beat la maana wauza unga wengine wasi shobokee kabisa territories kadhaa America za kuuza unga kule only if kama huo unga wame source from him ??

Na hao ma don wauza unga wana ufyata wanatulia kabisa kwa Don Pablo. That dude was beyond powerful. Hao Calli Cartel walianza kuvimba baada ya Pablo kufa. Yule alivyo make hela nyingi kwenye ngada ali wekeza hela nyingi sana kuimarisha organization yake mapema sanaa making him ahead of the rest. Mwana alikua na jeshi lake.

Speaking of Pablo...ali control all the routes za ku smuggle mzigo mpaka kuingia America. The dude owned the whole chain from manufacturing shambani huko (kupitia jamaa mmoja mwenye a.k.a Cockroach ) mpaka distribution of the final product in America.

Sio poa Bob !!
Hizi mambo ziko well detailed kwenye Narcos series mbona.
 
Ngadu01

JF-Expert Member
May 4, 2016
493
1,000
Unataka umfananishe mtu ambae aliweza mpaka kumshawishi Rais Fidel Castro ili wapitishe mizigo kupitia nchi yake unfanisha pusha na KINGPING ambae hajawai kutokokea Tajiri wetu Mo ana itajiri wa us$billion3 Pablo alokufa na utajiri wa us$billion 30 tena miaka mingi iliopita
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom