Huyu ndiye Rafael Caro, achana na Pablo Escobar

Escobar n baba lao
Hìii haitabadilika
Escobar ni famous tu kwa sababu alikua anajitangaza sana kwenye media na alikua mwana siasa na nusu achaguliwe kuwa rais wa colombia...ila Medellin cartel aliokua anaongoza ilikua cha mtoto uki linganisha na Cali Cartel
 
We achana kabisa na Medelin cartel ya Pablo hao Cali washawahi kuwa wafanyakazi wa Pablo baadae wakajitenga na kuanzisha kundi lao la Cali na bado hawakuwa na nguvu kivile kundi la Cali lilishirikiana na serikali ya mexico pamoja na mmarekani kulivunja kundi la medelin.
Ndo maana unaona Cali cartel inakuja kuwa na nguvu baada ya Pablo kuuliwa
 
Olympus mzee unasikia series ya narcos inaelezea vzur mno, vyombo vya habar sio vijinga kumsema pablo
We achana kabisa na Medelin cartel ya Pablo hao Cali washawahi kuwa wafanyakazi wa Pablo baadae wakajitenga na kuanzisha kundi lao la Cali na bado hawakuwa na nguvu kivile kundi la Cali lilishirikiana na serikali ya mexico pamoja na mmarekani kulivunja kundi la medelin.
Ndo maana unaona Cali cartel inakuja kuwa na nguvu baada ya Pablo kuuliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom