Huyu ndiye Rafael Caro, achana na Pablo Escobar

Ungekuwa na gazeti lako ungeliliuza sana kwa staili hii. Yaani umezidi Isidingo aisee
 
Huko Sinaloa inaonyesha ni sehemu inayohusika na madawa ya kulevya tu!

Maana kwenye ishu ya madawa ni lazima waigusie.
 
bora umeongea ww mkuu uyo Rafa caro alkua chawa tu anasaidia kusimamia mashamba ya bangi uko Mexico apo wakuu wake wakiwa kina Don Neto na miguel angel au the god fAther

@military_Genius
 
Asilimia 90 ya cocaine iliyokuwa inaingia marekani ilikuwa inatoka kwa Pablo. Pablo alikuwa na hela hadi akawa hajui yeye binafsi anamiliki hela kiasi gani ikabidi aajiri wahasibu wa kumuhesabia hela na walimwibia sana bila yeye mwenyewe kujua. Jina la El chapo linamaana ya mtu mfupi na hili alipewa Juaquin Guzman wa Sinaloa Cartel ya Mexico na sio Rafael Caro japo ya yeye alikuwa moto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom