Huyu ndiye Padri Privatus Mutekanga Karugendo (1956-2021)

Nimeona hapo huyo padre alipotumia toba ya mwenzake kumuangamiza, ni vyema toba ielekezwe kwa Mungu moja kwa moja na sio kwa mtu wa pili aifikishe.
Mwenyezi Mungu hamchukii mwanadamu mpk asimkubalie toba yake moja kwa moja
Ukiwa padre huruhusiwi kut.omba......
sijatumia tasifida ili nionyeshe uzito wa kosa...
 
Yeah.

Sasa hapo kinachonishangaza ni huyo askofu coz yy ndie muungamishaji na yy ndie mfungua mashitaka. No wonder walirusha steps hio kesi na ku-skip tribunal ya kwanza. Ila kwa mtu ambae ameshakaa kwenye system ya katoliki hatoshangaa sana coz kama nlivyosema mwanzo 'hakuna demokrasia' na kizuri unafahamishwa hilo kabla kabisa kwenye viapo vyao hasa kile kiapo cha utii.
Huenda Niwemugizi akifunguka itakuwa balaa!!
labda Karu......alikua akitenda dhambi kwa kujirudia rudia na kuungama mara kwa mara...
mbele ya Niwemugizi...
akaona isiwe tabu amfukuze aende akaoe
 
Mkuu, Sang'udi, bado sijakuelewa!
Kanisa Katoliki halina mambo ya kutetemekea wakubwa. Kama Mfalme wa England alikaziwa baada ya kunajisi Sakramenti Takatifu ya ndoa, hata Askofu Niwemugizi angewajibishwa kwa kunajisi Sakramenti Takatifu ya Kitubio.
 
Privatus amefariki dunia jioni ya 24 Juni 2021, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam, kutokana na changamoto ya upumuaji aliyokutana nayo ndani ya masaa 12.

Changamoto hii ilitanguliwa na homa ya siku tatu ikiambatana na kushuka ghafla kwa kiwango cha sukari mwilini. Kwa kuwa hati ya kifo bado haijatoka hatujui chanzo cha changamoto hii
Kuna kitu unataka kutuaminisha hapa, huenda kisiwe sawA
 
Ukiwa padre huruhusiwi kut.omba......
sijatumia tasifida ili nionyeshe uzito wa kosa...
But it was between him and God and not with people and kwa imani yao na sheria yao alienda kuungama na kama sheria ya kuungama usieleze dhambi za alieungama kwa mtu kwa nn yy alienda kueleza. Kwa hyo nilichoandika kimebase on what was written
 
Kanisa linatembelea misingi ya Sheria na falsafa

Kanisa la wasomi wamuabuadio MUNGU .

Huwezi ikuta falsafa kule kwengine .

Kule maji ya upako,vitamba,keki za upako,sadaka kuanzia buku 5 ,kelele mtindo mmoja.

Naam ,kanisa moja takatifu katoliki la mitume.


"Mshike Sana elimu msiache aende zake "

Tumsifu Yesu Kristu.
 
Halafu Kuna majina Fulani yanapatika kwa wahaya tu huwa wanayatoa wapi.

Kama hayo ya akina karugendo.

Akina respecius,specioza sijui akina Nani ?

Wahaya Wana mbwembwe Hadi kwenye majina .

R.I.P P Karugendo
 
P
Karugendo alikiuka kiapo cha useja kwa kuwa na mahusiano na mwanamke nje akijua fika kufanya hivyo lilikuwa ni kosa, usifanye Askofu Niwemugizi aonekane mbaya kwa kumchukulia hatua mtu ambaye alikiuka kiapo hiki muhimu.

Mtu akikosea lazima aadhibiwe kwa kosa lake, ni adhabu ya aina gani atakayopewa huo ni uamuzi wa kiongozi wake, na zaidi kwa nafasi aliyokuwa nayo alionesha udhaifu dhidi ya imani yake, na pia zaidi, kwa wale waliokuwa waumini wake, huyu kama angesamehewa angeweza kuweka "precedence" mbaya kwa Kanisa Katoliki.

Kwangu nasimama na uamuzi wa Askofu Niwemugizi kumvua cheo cha upadri, lakini pia, nilikuwa napenda nipate wasaa wa kukutana nae nimuulize kwanini alikuwa bado anatumia jina la "Padri" kama nilivyokuwa nikisoma makala zake kwenye magazeti mbalimbali licha ya kuwa alishavuliwa hicho cheo na kanisa?
padre inabaki km jina tu au status like mwalimu akiacha kazi au daktari ataendelea kuwa na hiyo status
Kati ya vitu vigumu kwenye katoliki ni kipengele cha toba aisee ,you see what happened binadamu atabaki kuwa binadamu tu
 
P

padre inabaki km jina tu au status like mwalimu akiacha kazi au daktari ataendelea kuwa na hiyo status
Kati ya vitu vigumu kwenye katoliki ni kipengele cha toba aisee ,you see what happened binadamu atabaki kuwa binadamu tu
Huyo jamaa alimkosea Mungu na akalikosea Kanisa Katoliki, kama Mungu alimsamehe kwa matendo yake, Kanisa likamuadhibu, sioni tatizo hapo, kukaa na watu wa aina yake kanisa litapoteza thamani yake.
 
Huyo jamaa alimkosea Mungu na akalikosea Kanisa Katoliki, kama Mungu alimsamehe kwa matendo yake, Kanisa likamuadhibu, sioni tatizo hapo, kukaa na watu wa aina yake kanisa litapoteza thamani yake.
Hoja yangu ni kwamba kama aliadhibiwa kwa kosa hilo baada tu ya yy kwenda kuungama kama mtoa Uzi alivyoeleza ku na jambo la kujifunza happ
 
Pamoja na hayo, Baba Askofu hakutakiwa kutumia taarifa za maungamo ya Baba Padri kumchukulia hatua! Hii haipo sawa, na nadhani ndio maana wakatoliki "WENGI" hawaungami katika parokia zao!!

Haikuwa lazima kwa Karugendo kuungama ili jumuiya ifahamu kuwa alikuwa anazini!!! Alikwenda kuungama baada ya kuwa na mahusianao na mwanamke ambayo hayakuwa siri tena; hivyo kwenda kuungama kwa Askofu was a preemptive measure kabla ya kuchukuliwa hatua na kanisa!!!
 
Itoshe kusema Roman Catholic ni kama serikali tu. Kanisa gani hadi lina mahakama zake? Halafu hayo mambo ya kutubu kwa padri ni sawa na upelelezi. Hili kanisa sio la kuamini aisee.
 
Kulichukia kanisa Katoliki uwe makini! Mf. Kijijini kuna tajiri na wewe ni masikini, ukimchukia tajiri utaona madhara yake. Inabidi umnyenyekee tajiri angalau kwa unafiki. My friend ! "Life is a game "
 
Back
Top Bottom