Hahahaha pembe nzito kuliko ng'ombe mwenyewe kazi ni kuzurura tuHuo ndio ufugaji wa kisasa. Sio wale wa kimasai pembe nzito kuliko ng'ombe mwenyewe; kazi kuzurura nchi nzima toka Longido hadi Rufiji wao tu uharibifu kila mahali na social instability.
Ha ha ha. Hizo galon 100 za maji umezi-consider? Partly zinaingia kwenye kinyesi pia.Jike... yaani anachukunya ni kingi mno kuliko anachukula
Ha ha ha ha ngoja kina Ole wajeHuo ndio ufugaji wa kisasa. Sio wale wa kimasai pembe nzito kuliko ng'ombe mwenyewe; kazi kuzurura nchi nzima toka Longido hadi Rufiji wao tu uharibifu kila mahali na social instability.
pembe nzito kuliko ng'ombe mwenyeweHuo ndio ufugaji wa kisasa. Sio wale wa kimasai pembe nzito kuliko ng'ombe mwenyewe; kazi kuzurura nchi nzima toka Longido hadi Rufiji wao tu uharibifu kila mahali na social instability.
lini walitembea dunia nzima na kufanya utafiti na kugundua huyo ng'ombe ndio mkubwa kuzidi wote
Kwa hapa nchini, Ng'ombe mzito zaidi alitoka kwenye ranchi ya aliyekuwa Manager wa ile ranchi ya Kongwa. Nakumbuka ng'ombe yule alirekodiwa kuwa na uzito wa Kg 800, hiyo ilikua ni mwanzoni mwa miaka ya 2000.Tani hizo hawezi kufunikwa na wale wa pale naco kongwa kweli
mfugaji tanzania sio maasai peke yao,wapo wasukuma wamejaa huko mbalali na kuna malalamiko hayahaya wakulaumiwa serikali zote za ccm kushindwa kuutafutia ufumbuzi mgogoro huuHuo ndio ufugaji wa kisasa. Sio wale wa kimasai pembe nzito kuliko ng'ombe mwenyewe; kazi kuzurura nchi nzima toka Longido hadi Rufiji wao tu uharibifu kila mahali na social instability.
Lakini akina Ole wanaongoza kwa social instability kila wanakopita - Morogoro, Rufiji, Tanga, na maeneo mengine mengi. Ukisikia vurugu za wafugaji na wakulima hapo lazima mmasai yumo - msukuma na makabila mengine sio kivile kama hao jamaa.mfugaji tanzania sio maasai peke yao,wapo wasukuma wamejaa huko mbalali na kuna malalamiko hayahaya wakulaumiwa serikali zote za ccm kushindwa kuutafutia ufumbuzi mgogoro huu
ubaguzi sio jambo la kheri kaa ukijua ,hizo ni ignominious retreat unazoleta hapa zinamadhara makubwa sana kuwa jamii fulani tu ndo wako hivyo huko mvomero na pwani marangapi tunasikia mapigano ambayo hayalihusishi hili kundi hebu nambie mpaka sasa kuna hatua gani za ziada zilizo chukuliwa kupambana na hawa wafugaji kuhamahamaLakini akina Ole wanaongoza kwa social instability kila wanakopita - Morogoro, Rufiji, Tanga, na maeneo mengine mengi. Ukisikia vurugu za wafugaji na wakulima hapo lazima mmasai yumo - msukuma na makabila mengine sio kivile kama hao jamaa.
Alinisimulia babu mmoja wa kimaasai kwamba maasai kwa imani zao za asili kabisa wanaamini ng'ombe, mbuzi, na kondoo ni kwa ajili yao tu; haiwaingii akilini eti kuna makabila mengine yanapaswa kumiliki hiyo kitu.
Hahahaha pembe nzito kuliko ng'ombe mwenyewe kazi ni kuzurura tu