Huyu ndiye ng'ombe mkubwa zaidi duniani

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
1480340242696.jpg

Huyu ni ng'ombe mkubwa zaidi duniani mwenye urefu wa mita 1.95 na uzito wa zaidi ya tani 1.anaitwa Danniel na anaishi Eureka, Marekani

Kila siku anakula paundi 100 za nyasi, paundi 15 za nafaka, galoni 100 za maji na kutoa paundi 150 za kinyesi.
 
Huo ndio ufugaji wa kisasa. Sio wale wa kimasai pembe nzito kuliko ng'ombe mwenyewe; kazi kuzurura nchi nzima toka Longido hadi Rufiji wao tu uharibifu kila mahali na social instability.
Ha ha ha ha ngoja kina Ole waje
 
Huo ndio ufugaji wa kisasa. Sio wale wa kimasai pembe nzito kuliko ng'ombe mwenyewe; kazi kuzurura nchi nzima toka Longido hadi Rufiji wao tu uharibifu kila mahali na social instability.
mfugaji tanzania sio maasai peke yao,wapo wasukuma wamejaa huko mbalali na kuna malalamiko hayahaya wakulaumiwa serikali zote za ccm kushindwa kuutafutia ufumbuzi mgogoro huu
 
mfugaji tanzania sio maasai peke yao,wapo wasukuma wamejaa huko mbalali na kuna malalamiko hayahaya wakulaumiwa serikali zote za ccm kushindwa kuutafutia ufumbuzi mgogoro huu
Lakini akina Ole wanaongoza kwa social instability kila wanakopita - Morogoro, Rufiji, Tanga, na maeneo mengine mengi. Ukisikia vurugu za wafugaji na wakulima hapo lazima mmasai yumo - msukuma na makabila mengine sio kivile kama hao jamaa.

Alinisimulia babu mmoja wa kimaasai kwamba maasai kwa imani zao za asili kabisa wanaamini ng'ombe, mbuzi, na kondoo ni kwa ajili yao tu; haiwaingii akilini eti kuna makabila mengine yanapaswa kumiliki hiyo kitu.
 
ubaguzi sio jambo la kheri kaa ukijua ,hizo ni ignominious retreat unazoleta hapa zinamadhara makubwa sana kuwa jamii fulani tu ndo wako hivyo huko mvomero na pwani marangapi tunasikia mapigano ambayo hayalihusishi hili kundi hebu nambie mpaka sasa kuna hatua gani za ziada zilizo chukuliwa kupambana na hawa wafugaji kuhamahama
 
Dudu acha tabia hio ya ukabila na kukurupuka. Waafrika wafugaji kuanzia Ethiopia , Tanzania au iwe Algiers , sio kwamba hawataki ufugaji wa kisasa, ila je miundombinu inaruhusu? je maji na chakula cha wanyama wa kisasa wasioweza kutembea hata hatua 100 unacho uwalishe? vijijini ndugu zako wanaranda kutwa na migombe sugu inaomudu shida kutafuta dimbwi la maji na mara nyingine hawapati hadi mifugo inaanza kufa. Sasa wewe ghafla yuwashauri wajaribu mabedui mdobwedo mapema hivi? ni kama kumpa mkulima Ndege kabla ya Trekta. wasalaam
 
Back
Top Bottom