Huyu ndiye Mwenye sifa ya urais upinzani

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
sio kila anayegombea urais ana sifa kuna wengine wanatafuta kuweka kumbukumbu katika maisha na wengine ni kuleta vurugu nawaomba wanainchi tuwe macho vinginevyo tutakuja kulia na kusaga meno kwa kufuata ushabiki wa vyama, na kusukumwa na utashi wa kiimani katika kumchagua kiongozi wa nchi yetu, lakini mgombea mwenye sif upande wa upinzani ni mmoja naye ni Prof Lipumba, wengine ni mavuvuzela.
 
RIP CUF....wananchi tulikupenda sana! lakini Mungu amekupenda zaidi thatz y amekuita moja kwa moja.
Bwana alitwaa na Bwana ametwaa...jina lake lihabudiwe daima. RIP CUF
 
toka chaguzi za vyama vingi amekuwa akigombea urais na anakataliwa. angekuwa na sifa angeshachaguliwa.

RIP CUF....wananchi tulikupenda sana! lakini Mungu amekupenda zaidi thatz y amekuita moja kwa moja.
Bwana alitwaa na Bwana ametwaa...jina lake lihabudiwe daima. RIP CUF
 
sio kila anayegombea urais ana sifa kuna wengine wanatafuta kuweka kumbukumbu katika maisha na wengine ni kuleta vurugu nawaomba wanainchi tuwe macho vinginevyo tutakuja kulia na kusaga meno kwa kufuata ushabiki wa vyama, na kusukumwa na utashi wa kiimani katika kumchagua kiongozi wa nchi yetu, lakini mgombea mwenye sif upande wa upinzani ni mmoja naye ni Prof Lipumba, wengine ni mavuvuzela.

Tunataka lipumba akagombee udiwani akipata then mumfikirie kumleta kwenye urais,.... Inawezkana hata Lipumba hajawahi kushinda nafasi za kugombe zaidi ni uteuzi tu ndiyo unamtoa.
 
Kumbe eh! Ndo maana Hamad Rashid alikuwa analalamika, kwa mwendo huu wa mawazo mgando sidhani kama ipo siku itafika tukaelewana wote
 
sio kila anayegombea urais ana sifa kuna wengine wanatafuta kuweka kumbukumbu katika maisha na wengine ni kuleta vurugu nawaomba wanainchi tuwe macho vinginevyo tutakuja kulia na kusaga meno kwa kufuata ushabiki wa vyama, na kusukumwa na utashi wa kiimani katika kumchagua kiongozi wa nchi yetu, lakini mgombea mwenye sif upande wa upinzani ni mmoja naye ni Prof Lipumba, wengine ni mavuvuzela.

Kwa hiyo sifa ya mgombea urais lazima aitwe Lipumba?
Akili za panzi hizi.
 
Lipumba, ndiye kiongozi mwenye busara, hekima, hana papara, na mwenye kujua matatizo ya wa tanzania, wengine waliobakia upande wa upinzani hovyo kabisa.
 
RIP CUF....hata hivyo tunashukuru umetuachia mtoto anaeitwa ADC, lakini wasiwasi wetu ni kwa huyu baba (ccm) uliye
mwachia huyu mtoto! maana huyu baba ni mroho sana anaweza kumla na huyu mtoto ADC. RIP CUF
 
Je, amewahi kugombea Udiwani? Hapana.
Je, amewahi kugombea Ubunge? Hapana.
Je, amewahi kugombea Uraisi? Ndio, mara nne!
Duh, kwa nini mara zote nne? CUF hakuna kama yeye.
Je, amewahi kushinda? Hapana, mara zote kashindwa!
Je, sasa hizo sifa za Uraisi kazipataje? Hiyo siri ya Mkigoma.
Je, huo ndio utaratibu CUF? Ndio, inao viongozi wakudumu.
Duh, kama Mkigoma anampenda, akanywe naye chai.
 
Rais wetu lazima awe padre Slaa au siyo?
 
Back
Top Bottom