Huyu ndiye Mwanamke wa Kuoa, ila sijui kama Tanzania yupo...

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
1-Mwanamke ambaye anakuja kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari kisha akaamua kula nawe,
huyo mwanamke oa.

2-Unakwenda naye hotelini na anaagiza ugali dagaa na maji tu, huyo oa kwani
anajua uchumi.

3-Mdada aliye amua kumuacha bwana anae miliki gari na kukufata wewe wa miguu mitupu, usimuache huyo.

4-Mwanamke anaekuja kwako akakuta nguo zako chafu akaamua kufua zote mpaka za wadogo zako, huyo mke usimuache.

5-Mwanamke unampa Tsh 5,000 akafanye shopping sokoni kisha akarudisha chenji, huyo usimuache kwan anajua kuban matumizi na muaminifu.

6-Ukimpat mwanamke ambaye anakupigia cm na kukuuliza je anaweza kukutumia credit au hela ya lunch au anakupa pocket money saa nyingine, huyo mwanamke mtangazie ndoa fasta.

7-Mwanamke ambaye anakupa password ya bank laptop cm na emails zake, oa haraka sana watamfukuzuia wenzako.

8-Mwanamke ukipanda nae daladala anakulipia nauli au mkitoka aut analipia bili ya vyakula na vinywaji, huyo usimuache anajua wajibu wa wanandoa.

9-ukimpat ambaye mnapokula yeye anachagua mifupa na kukuachia minofu, huyo oa fasta kwani anajali afya yako.

10-ukipat mwanamke ambaye kila ukimuuliza umletee nini unapotok kazin lakini yeye anakwambia kuwa hahitaji chochot bali anataka tu urudi salam, huyo ndie mke sio kila siku unatumwa chipsi
 
Unaota mkuu
 
Hiyo ni kwa nyie wavulana, sisi wanaume tukiona mwanamke yuko hivyo hatuoi tunajua ana tatizo
 
Kupata vichekesho hivyo tuma neno kichekesho kwenda 15588. alisikika mlevi mmoja
 
Natafuta mchumba kisha awe mke mwenye sifa zifuatazo
-awe na umri chini ya miaka 24
-awe mwembamba
-awe mweusi au kama mweupe Basi ule wa asili
-awe na elimu ya chuo chochote ngazi ya cheti,diploma au degree hata Kama akiwa Hana kazi haina shida nitampa mtaji mkubwa wa kufanya biashara.
-awe mchaMungu anayeheshimu dini zote ila yeye mwenyewe asiwe mtu wa dini Sana ,pia awe na utambuzi wa Hali ya juu awe haamini Kama Kuna shetani,wala Kuna uchawi awe anajua ukweli kuhusu hizi dhana.
-awe anapenda kujifunza zaidi na hasa kusoma vitabu vya dini zote,ajue angalau history of the world na knowledge ya mambo ya afya hasa kwa kutumia vitu vya asili Kama vyakula, viungo n.k.
-ajue angalau kwa undani knowledge hizi za duniani yaani partial truth Kama vile technology, science, chemistry,physics,laws,nature na kisha ajue deep knowledge ile yenyewe secret knowledge yaani universal Truth aijue na awe tayari tujifunze naye kwa undani kuhusu habari za MUNGU
-awe anapenda kucheza tennis au volleyball yaani kila siku awe tayari kucheza na Mimi
-awe tayari kunitii chochote nitakachomwambia yaani asichoke kunisikiliza
-awe anajali Sana kitu kinachoitwa muda awe anajua umuhimu wa kufanya maandalizi mapema ya Jambo fulani.
-asiwe mtumiaji mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii angalau awe anasoma news za kimataifa,au Kama Ni mtandao nimkute Yuko wikipedia,quora au JAMII FORUM.
-kwenye upande wa siasa awe Anamkubali DKT John pombe Magufuli.
-asiwe Ana ndoto za malengo ya kuja kuwa tajiri Sana kiufupi aridhike na maisha ya kawaida..ajue kabisa mimi Sina mpango wa kununua gari maisha mwangu.
-asiwe mtu wa kuamini Amini habari za kusikia na kusimuliwa kwa maneno.
-awe havai wigi,Wala kusuka suka marasta saloon awe na natural hair.
-asiwe na gubu awe Ni mtu mbunifu wa kuitafuta faraja yaani katika mawazo yake awe anajaribu kugundua vitu ambavyo vitatufanya tuwe na faraja
-asiwe mtu wa kusubiri matatizo yatukute Kama vile magonjwa yaani tuhakikishe tunadhibiti maradhi fulani kabla hayajatukuta kwa kuzingatia kanuni za afya,usafi,chakula, mazoezi n.k.
Kama yupo aliye serious tufanye maisha naomba Ani PM
 
Yani hapo hakuna cha maana ulichosema mkuu
Eti ugali dagaa
Sijui credit na vtu vingine
Ww ulichofanya ni kupunguza dependence ya mwanamke kwako, wewe huwezi kumtoa mwanamke Pasaka yote eti ale ugali dagaa
Mwanamke wa kuoa ni yule ambaye anaweza kusimama katika nafasi yake kama mke bila kutetereka, bila kujali ametoka wapi, yuko na nani na ana malengo gani, cha muhimu asideviate...
 
Back
Top Bottom