Huyu ndiye mtoto wa kwanza wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

wiseboy do not become a stupidy boy, post moja inatosha kuorodhesha hoja zako, huu uandishi wa kifacebook hapa haukubaliki, usitujazie page pasipo na sababu za msingi.

unataman uwe jf shareholder ili uapply ubaunsa wako.....ha haaaa am a wiseboy thnx kwa tusi, 4 sure am a stupid kwako bt i wont b so 2 others....
 
Last edited by a moderator:
et kuna wakat maaskari toka libya kama sijakosea, walikuja kumuua nyerere, walipofika btma akageuka kuwa katoto kachafu kenye masalia ya mlenda mdomoni, vp kweli.,?
''Maswali'' mengine yanaonyesha jinsi muulizaji alivyo juha
 
Hakuna mtoto wa mwalimu aliyefariki katika ajali ya ndege wakati wa vita. Andrew alikuwa Fighter pilot kama alivyokuwa mdogo wake, John. Makongoro alikuwa mtaalamu wa mizinga. Wakati wa vita Makongoro alipigana mstari wa mbele. Kwa kifupi niseme hakuna mtoto wa mwalimu aliyekwishafariki, iwe vitani au kwa namna nyingine. Wote wakingali hai. Mwalimu alikuwa mvuta sigara, na aliacha baada ya Uhuru. Hakuna kumbukumbu za yeye kuvuta siga kubwa! Kuhusu hilo la katiba ya Tanu ni kweli, lakini aliandika katika pango kule Ikizu.

Nawasilisha


Hivi tukivamiwa leo, ni kiongozi gani anaweza kupeleka watoto wake watatu vitani?
 
Mie bado siamini hii taarifa yako mpaka Rais mstaafu Benjamin Mkapa adhibitishe.
Unless Mkapa adhibitishe hii habari yako itakuwa na walakini mkubwa sana

Kuna tofauti ya "kudhibitisha" na "kuthibitisha" nadhani ulikuwa unataka kuandika athibitishe. Sasas tueleze unataka athibitishe nini? au kama ulimaanisha adhibitishe, adhibitishe nini?
 
Julius Kambarage Nyerere hakunaga!!! HIvi ile misemo ya kuwa Mwl hakutaka Mchaga wala Mhaya kutawala ni kweli au ni Ilani ya wanamtandao?
Kwann Julius Nyerere hafanan kiakili na kimtazamo na Watnzania?
 
I will be back .maana haya mambo nayasikiaga uswazi kwetu
mwiongo ukijibu utanifrahisha saaaana although
nashindwa kuelewa unania gani kuianzisha thread hii
 
Ndugu zangu, nimeona mjadala mkali unaomhusu Andrew Nyerere. Wapo wanaomkejeli kwa jina lake, na wengine wanamzushia tu mambo. Nimeona nieleze haya machache. Andrew Nyerere ndiye first born wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Burito. Jina lake la kuzaliwa ni Burito. Burito ni babu yake Mwalimu Julius Nyerere. Andrew ana wadogo zake. Mtiririko wao wa kuzaliwa ni Anna Watiku, Emil Magige, John-Guido Nyerere, Charles Makongoro, Godfrey Madaraka, Rosemary na Pauleta.
Nimeona nitoe elimu hii fupi nikiamini kuwa katika JF suala la kuelimishana limepewa umuhimu mkubwa. Kama lipo swali, nawakaribisha. Asanteni sana.
maswali yapo,nayaona mengi tu-sema unarespond kwa spid ndogo sana,pia hujibu yote,ungekuwa unajibu yote hii thread ingekuwa nzuri sana
 
Back
Top Bottom