Huyu ndiye mtoto wa kwanza wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

asante mkuu, kumbe ile kesi ya kutunguliwa ndege yenye mtoto wa nyerere ilikuwa janja ya mayunga.
Nina swali lingine mkuu;
1.fimbo ya nyerere iliyoko kwenye makumbusho ya nyerere butihama nasikia ni feki, fimbo halisi ipo ikulu je ni kweli?
2. kaburi la nyerere kabla ya mwezi haujaisha tangu azikwe lilipasuka na kutoa mlio mkali kiasi kwamba walinzi wa ile sehemu wote walikimbia isipokuwa aliyekuwa mlinzi wake?
3. je asili ya neno nyerere ni Rwanda/Burundi likiwa na maana ya utelezi/teleza?
 
et kuna wakat maaskari toka libya kama sijakosea, walikuja kumuua nyerere, walipofika btma akageuka kuwa katoto kachafu kenye masalia ya mlenda mdomoni, vp kweli.,?
 
mbona nilisikia jaman kuna mtoto wa nyerere alifikwa na mauti baada ya ndege ya kivita aliyokuwa anaiendesha kuanguka na kulipuka au? niwekeni wazi kwa hili
 
Musoma ile kitu basic need hata ukitaka kuoa unaambiwa upeleke, mbegu na majani yake.
yule aliyekufa kwenye ajali ya ndege kipindi cha vita ya idd amin alikuwa akiitwa nani?
je nikweli mwalimu alikuwa anavuta ile sigara kubwa na baadae akaanza kuvuta sigara za kawaida kabla ya kuacha kabisa?
je nikweli wazanaki wakishirikiana na mwalimu nyerere ndo walio tunga kanuni za tanu na kuziandika kwenye mawe ya mwisenga ili wazungu wasigundue kabla ya uhuru?
 
kuhusu ukoo wa Nyerere Burito.
Ukimwangalia Mwalimu, ana features za Kitutsi. Light soft skinned, long face, na dental formular ya Wahima!, Jee ni kweli sifa ya nani anakuwa Chifu wa Wazanaki ni yule mwenye ng'ombe wengi?. Jee ni kweli asili halisi ya Chifu Burito ni mtoto wa mchunga ngombe wa Kitutsi alichunga vizuri ng'ombe wa chifu halisi wakazaliana kwa vingi ila ikatokea huyo chifu hakubahatika kupata mtoto wa kiume hivyo akamteua Burito ambaye ni mtoto wa mchunga ng'ombe wake wa Kitutsi aliyezaliwa boma yake, akamtwaa na kumlea kama mwanae na alipofariki, akaukwaa uchifu?. Hali kama hiyo pia imemtokwa rais Kabila wa DRC, imekutikana kumbe sio mtoto wa Kabila bali ni Mtutsi. Museveni pia ni Mtutsi, inasemekana hata Uhuru Kenyatta sio mtoto wa Jomo Kenyatta bali ni damu ya Kitutsi!.

NB- haya ni mapokeo tuu, yaani vitu vinavyosemwa, inawezekana vipo au ni hadithi tuu kama ilivyo kwa Ben, jina la Mkapa ni la kikeni!, kiumeni ni nchumbiji!.
 
asante mkuu, kumbe ile kesi ya kutunguliwa ndege yenye mtoto wa nyerere ilikuwa janja ya mayunga.
Nina swali lingine mkuu;
1.fimbo ya nyerere iliyoko kwenye makumbusho ya nyerere butihama nasikia ni feki, fimbo halisi ipo ikulu je ni kweli?
2. kaburi la nyerere kabla ya mwezi haujaisha tangu azikwe lilipasuka na kutoa mlio mkali kiasi kwamba walinzi wa ile sehemu wote walikimbia isipokuwa aliyekuwa mlinzi wake?
3. je asili ya neno nyerere ni Rwanda/Burundi likiwa na maana ya utelezi/teleza?
 
hv ni kweli wakati wa vita vya uganda, maaskari wa uganda walipokuwa wanapiga picha butiama palikuwa hapaonekani na badala ake lilikuwa linaonekana tenki la maji la kijiji cha BUMANGI, Je mwalimu alitaka bumangi ndo ipigwe? mwitongo nakusubiri.
 
Chifu Nyerere Burito ambaye ni babake Mwalimu, alikuwa na wake 26. Mamake Mwalimu aliitwa Mgaya Nyang'ombe. Huyu alikuwa mke wa tano. Mwalimu alikuwa na ndugu zengine kwa babake, baadhi yao ni Justine Nyerere, Wisigana, Joseph Muhunda,Jackton, Wanzagi, Mukami, Tagazi, Nyasisenye, Daniel, na wengine wengi sana. Fikiria wanawake 26 si mchezo!!
Mkuu Mwitongo asante sana, kwa nini wanaotumia jina la Nyerere ni wale watoto wa Mugaya tuu?. Kuhusu Jacton mwanawe, Manyerere alinieleza kuwa ni ukoo huo lakini mpaka leo hakuna data halisi watoto wa baba mmoja na Nyerere ni kina nani?, kuna hoja iliwahi kujengwa kuwa Chifu Edward Wanzangi ni kaka yake, hata Joseph Butiku na Joseph Warioba pia walielezwa hivyo hivyo!. Hili la Baba wa Nyerere kuwa na wake 26 ndio nalisikia kwako leo!, ila samahani nina mashaka na baadhi ya taarifa zako!.
 
je ni kweli burito c baba ake halisi wa nyerere? na badala ake baba ake mzazi wa mbegu kwa kizanaki "kitungo" ni mzee MTOKA yupo kijiji Cha jirani BUMANGI pale mtaa wa kyawamang'we....je ni kwel mwaka 98 alimpelekea mzee mtoka suti?
 
mwitongo nitafurah endapo nitapata majibu muafaka toka kwako....plzzzz
 
katika kabila la wazanaki kuwa na mke nje ya ndoa (e-kitungo) ni jambo la kawaida, je mwl nyerere hakuwa na kitungo? na je km alikuwa nacho hajazaa huko mtoto?
 
je ni kweli burito c baba ake halisi wa nyerere? na badala ake baba ake mzazi wa mbegu kwa kizanaki "kitungo" ni mzee MTOKA yupo kijiji Cha jirani BUMANGI pale mtaa wa kyawamang'we....je ni kwel mwaka 98 alimpelekea mzee mtoka suti?
 
je ni kweli mwl.nyerere alikataa lami iwekwe kwenye barabara inayoanzia makutano ya juu kupitia kona 7, butuguri, busegwe hadi butiama, eti akidai hatak ukanda mweusi? mwitongo kwan ww unajua nn mbona hunijb
 
wakati mama mgaya anafariki nasikia eti mwl. alitamka kuwa kama mama umekufa basi nami sitaishi cku nyingi, je ni kweli alitamka hvyo? na kam ni kweli kulikuwa na link gani baina ya roho ya mama mgaya na nyerere?....dah haya maswal huwa yananiumiza sana, sasa mwitonge nae kalala mbele.
 
hapa hakuna mwenye majibu ya kuaminika kwa sababu taarifa nyingi zinafichwa kwa sababu zisizojulikana...
 
Back
Top Bottom