BoManganese
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 979
- 2,670
Usiombe akukute kwenye anga zake
**Wateja wa baadae wa ICC hao
Nibora ukutane na alshabaab au boko haramu wanaweza kukuteka na kukaa na ww huku wakiidai pesa nchi yako ndio wakuachie ila huyo dogo.. Huyo ukijaa anga zake ww piga sara ya mwisho tuUsiombe akukute kwenye anga zakeView attachment 1787354
Mkuu huyu ndo nani nipe hata Abc zake nimegoogle Hilo jina ila sjapata chochote.Nibora ukutane na alshabaab au boko haramu wanaweza kukuteka na kukaa na ww huku wakiidai pesa nchi yako ndio wakuachie ila huyo dogo.. Huyo ukijaa anga zake ww piga sara ya mwisho tu
Amini kwamba hapo dogo roho ya huruma ilisha paralyse siku nyingiNibora ukutane na alshabaab au boko haramu wanaweza kukuteka na kukaa na ww huku wakiidai pesa nchi yako ndio wakuachie ila huyo dogo.. Huyo ukijaa anga zake ww piga sara ya mwisho tu
Huyo ni moja wapo wa madogo walio funzwa roho mbaya na kupigana vita msituni hasa ktk nchi kama Congo n.kMk
Mkuu huyu ndo nani nipe hata Abc zake nimegoogle Hilo jina ila sjapata chochote.
Wala hafahamiki jina lake, ila ni watoto wanatekwa na waasi na wanakaa nao msituni na kuwafundisha unyama na roho mbaya. Hapo huyo mtoto anawaza kuua tu na hana hata punje ya hurumaMk
Mkuu huyu ndo nani nipe hata Abc zake nimegoogle Hilo jina ila sjapata chochote.
Shukrani sana mkuu kwa taarifaWala hafahamiki jina lake, ila ni watoto wanatekwa na waasi na wanakaa nao msituni na kuwafundisha unyama na roho mbaya. Hapo huyo mtoto anawaza kuua tu na hana hata punje ya huruma
Na yale majamaa yao makamanda uchwara hua yanavitoa bikra kwa kuvifirimba wakiwaaminisha watakua loyal kwao.Mtoto mdogo ila amekua Brainwashed mpaka sura yake imekaa kikatili katili tu.
Du mbona hatari aseeNa yale majamaa yao makamanda uchwara hua yanavitoa bikra kwa kuvifirimba wakiwaaminisha watakua loyal kwao.
Vinakua vina amini kila kitu toka kwa kamanda uchwara wao.
Noma sana mkuu.Du mbona hatari asee
Tobaaaaah!! Maskini weeNa yale majamaa yao makamanda uchwara hua yanavitoa bikra kwa kuvifirimba wakiwaaminisha watakua loyal kwao.
Vinakua vina amini kila kitu toka kwa kamanda uchwara wao.
Akibakwa analoose manhood hivyo hawezi kuwa na ujasiri tena.Na yale majamaa yao makamanda uchwara hua yanavitoa bikra kwa kuvifirimba wakiwaaminisha watakua loyal kwao.
Vinakua vina amini kila kitu toka kwa kamanda uchwara wao.
Ujasiri na ukatili ni vitu viwili tofautiAkibakwa analoose manhood hivyo hawezi kuwa na ujasiri tena.