Huyu ndiye mpori mpori

BoManganese

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
979
2,669
Usiombe akukute kwenye anga zake
e9be63e5b301a4b8ecfcefa7d7760c6e.jpg
 
Mk
Nibora ukutane na alshabaab au boko haramu wanaweza kukuteka na kukaa na ww huku wakiidai pesa nchi yako ndio wakuachie ila huyo dogo.. Huyo ukijaa anga zake ww piga sara ya mwisho tu
Mkuu huyu ndo nani nipe hata Abc zake nimegoogle Hilo jina ila sjapata chochote.
 
Amini kwamba hapo dogo roho ya huruma ilisha paralyse siku nyingi
 
Mk

Mkuu huyu ndo nani nipe hata Abc zake nimegoogle Hilo jina ila sjapata chochote.
Wala hafahamiki jina lake, ila ni watoto wanatekwa na waasi na wanakaa nao msituni na kuwafundisha unyama na roho mbaya. Hapo huyo mtoto anawaza kuua tu na hana hata punje ya huruma
 
Shukrani sana mkuu kwa taarifa
 
Na yale majamaa yao makamanda uchwara hua yanavitoa bikra kwa kuvifirimba wakiwaaminisha watakua loyal kwao.

Vinakua vina amini kila kitu toka kwa kamanda uchwara wao.
Akibakwa analoose manhood hivyo hawezi kuwa na ujasiri tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom