Huyu Ndiye Miss Universe Tanzania

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
2.JPG
 
Hivi hawa watu wanachaguliwaje maana siku chache zilizo pita kuna nyuzi ilikuja humu ya miss Tz nikabaki na mshangao!!!!

Sasa huyu sijui walitumia vigezo gani au wana taratibu za kuwachagua hawa walimbwende!!!!!
 
Back
Top Bottom