Huyu Ndiye Miss Universe Tanzania

Mbona kakomaa utadhani anabeba mizigo mizito,, wakati kuna watoto wazuri wengi tu tena wabichi kabisa
 
kwa nini wasingempa hata huyo wa pembeni hapo mbona huyo umri umeenda sana maana hapo kwa hali ya kawaida yuko kwenye 45+ -51yrs hivi au umri sio kigezo!!!
 
Chama gani huyu?

Watanzania daini katiba mpya ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana
 
Back
Top Bottom