Huyu Ndiye Makamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Ndiye Makamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wa Ndima, Oct 4, 2010.

 1. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Duh! Jamaa huyu vipi? Ameweka azma ya kuondoa 'umasikini wa viongozi' kwanza? Halafu hiyo methali ya "A hungry man is always an angry man' anaiweka vipi? Yaani ina husu viongozi walioshiba au walalhoi?

  He's totally confused -- hamna kitu -- ZERO. Kweli mtu kama huyu aweza kujibu hoja za Dr Slaa?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  dU...Hii ni kali, kumbe kwa sare za kijani kiongozi lazima ajichumie kwanza!
  Mbona Azimio la Arusha halikusema hivyo!
  Ewe Nyerere, mbona ulikufa ukiwa hujajichumia mali...au weye hukuwa kiongozi(kama asemavyo makamba?)
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa iyo lazima wajilimbikizie mali kwanza then ndo wahamie kwa wananchi.
  To me the last 5 years imetosha sasa wachape mwendo
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Bogas kabisa
   
 6. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  NO comment at all
   
 7. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  makamba ze Great? ooooh no! lol
   
 8. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  aah kumbe ndiyo maana viongozi wote wa CCM wakiingia madarakani tu cha kwanza ni kuiba kwanza?? Kumbe huwa wanataka kuondoa kwanza umaskini wao kabla ya kufikiria juu ya umasikini wa wananchi? Hiki chama kipigwe chini at any cost.
   
 9. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mi nimechoka na hiki kichwa maji haki ya Mungu
   
 10. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Aisee ile portion ya Munishi ni noma. iko hapo hapo kwenye zile za Makamba, GTV(www.munishi.com) anatema moto wa hatari kuliko!
   
 11. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #11
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Makamba ndio mwanaCCM mwenye akili nyingi zaidi, mwenye kipawa zaidi cha uongozi, ndie kiongozi anaeibeba ccm, ndie mwenye kipawa zaidi cha uongozi kuliko wanaCCM woote akiwemo Kikwete, Kinana na wengine.
   
 12. R

  Rugemeleza Verified User

  #12
  Oct 4, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  QUOTE=Wa Ndima;1122417][/QUOTE]

  Ndugu zangu mnakosea,
  Ndugu Wa Ndima katupa kipande hiki ili kisambazwe kwa watu wengi kuonyesha nini kile CCM imekusudia. Tafadhali nawaomba mtume kipande cha video hii kwa watu wengi sana kama mna emaili ambazo zina list-serve basi tuisambaze sana kwani hiyo ni kampeni tosha. Asante ndugu Wa Ndima kama kuna vipande vingine kama hivi ikiwa ni pamoja zile hotuba za Kikwete kuwa wasichana wenye kiherehere na kuwa hawezi kukaa nchini kwetu kugawana umaskini basi nazo zisambazwe. Mapambano bado yanaendelea na ......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #13
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 14. n

  nndondo JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Sio tu hivyo cha kushangaza wana CCM wamekubaliana na mpango wake wa kuwageuza wote wapumbavu, angalia alivyowafanya vijana jasiri wa chama hicho nakuwageuza ndondocha, katia unafiki wasionyeshe uwezo wao kisiasa kwa kuwakataza mdahalo isipokua Januari peke yake ndio anayeshiriki tena kwa kuchagua midahalo dhaifu, sasa cha kushangaza vijana wa CCM nao wamelikubali hilo aisee
   
 15. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Sitaki hata kusikiliza huo utumbo wake.
   
 16. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  I think Makamba is at least honest. Kasema kabisa ili tukiwachagua tusilalamike watakapojilimbikizia.
   
 17. c

  chome Member

  #17
  Oct 4, 2010
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu makamba anazeeka vibaya. Siamini. Viongozi kwanza then wananchi. Du kweli CCM CHUKUA CHAKO MAPEMA.
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Bwe he he he..yaani mbafu sangu sinahitaji kuwekewa fyuma aisee...
   
 19. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Duh! sasa hili dubwasha changanya na msanii mkumbatia ufisadi na mafisadi..yaani ni giza totoro! Watanzania tulikuwa wapi? Hivi watu wanajisingizia makini ndani ya sisi m wako wapi? hakuna..wote ni wanafiki na wachumia matumbo tu..period!
   
 20. S

  Singo JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  woga ambao wanachama wa CCM wamejengewa kwa muda mrefu ndo unawafanya washindwe kupinga joja dhaifu za vionngozi wao, mwaka huu ndo kiama chake.' nayaweza yote kwa yeye anitiaye nguvu'
   
Loading...