BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,011
- Thread starter
- #41
Acha ujinga wewe! Siheshimu mamlaka za Majizi, Mafisadi, Dhalimu, Waongo, Watekaji, Watesaji, wanaodharau katiba, raia, bunge na mahakama na pia WAUAJI hiyo nakuachia wewe Dr ZWAZWA.
Heshimu mamlaka iliyokulea na kukusomesha tena bure hadi kufikia hapo ulipo. Mamlaka hiyo ni TANU/ CCM iliyoongoza nchi hii tangia mwaka 1961 baada ya kumung'oa mkoloni. CCM ndiyo baba yako na ndiyo mama yako. Ndiyo iliyoruhusu vyama vingi vya kisiasa kwa lengo la kupata fikra bora bora mbadala kutoka kwa wawakilishi wa wananchi ili kuboresha utawala wa nchi na kuongeza kasi ya maendeleo. Bahati mbaya sana kenge kama nyie wakapata mwanya wa kutaka kuvuruga nchi. Mwisho wenu ni tarehe 28/10/2020. Baada ya hapo hamutasikika wala kuonekana tena