Elections 2010 HUYU NDIYE KINARA WAO......alitia mguu kila jimbo lenye utata..

komagi

Member
Nov 1, 2010
62
2
Ukifuatitilia kwamakini utakuta kuwa majimbo yote yaliyokuwa icu upande wa ccm na yakachakachuliwa kuyarejeshea oksijen, mzee marope ndiye aliyetia timu na kulazimisha kutangazwa matokeo tofauti wakiahidi ulinzi kwa watangazaji na mengine mengi. mf. shinyanga mjin, kibaha mjini na mengine mengi. lakini hali imegeuka kwa watangazaji hao kuishi maisha ya popo na kujificha. tunasema hatukubali kamwe. Aluta continua hadi kieleweke
 
Back
Top Bottom