HUYU NDIYE KINARA WAO......alitia mguu kila jimbo lenye utata..


K

komagi

Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
62
Likes
1
Points
15
K

komagi

Member
Joined Nov 1, 2010
62 1 15
Ukifuatitilia kwamakini utakuta kuwa majimbo yote yaliyokuwa icu upande wa ccm na yakachakachuliwa kuyarejeshea oksijen, mzee marope ndiye aliyetia timu na kulazimisha kutangazwa matokeo tofauti wakiahidi ulinzi kwa watangazaji na mengine mengi. mf. shinyanga mjin, kibaha mjini na mengine mengi. lakini hali imegeuka kwa watangazaji hao kuishi maisha ya popo na kujificha. tunasema hatukubali kamwe. Aluta continua hadi kieleweke
 
K

Kagalala

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
2,373
Likes
93
Points
145
K

Kagalala

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
2,373 93 145
Ipo siku wataiona dunia chungu
 
Nzi

Nzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
13,664
Likes
5,634
Points
280
Nzi

Nzi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
13,664 5,634 280
mzee marope ndo nani?:A S angry:
 

Forum statistics

Threads 1,235,204
Members 474,353
Posts 29,214,174