Huyu ndiye Binti aliyechapwa makonde na kujeruhiwa vibaya na msanii TID hapo jana Usiku..!!

Binti Nnauye ni mzuri sana mtoto wa kimakonde TID kachanganyikiwa mpaka anahisi mda wote anaibiwa,Nape ongea na shemeji yako TID wayamalize shemeji ni shemeji tu.
 
Siamini Jamaa Alikuwa Jaji Jana, Sasa Yamekuwa Hayo Tena........ Kwani Kisa Nini.?
cannabis sativa effects

kwani kaacha kutumia yale majani ya moto?
never on earth

duh TID whatever hapenned to this nigga!?? was good in his music... #sad
this happened to this nigga
marijuana-leaf.jpg


drugs happened that's what!
very right

inasikitisha...but how can such a cute looking chick love this drug addict?
shithappens-300x262.gif

 
Alikuwa mzuri zaidi ya hapa mariam..na siku zote yuko mkimya sasa alipokutana na huyu bwana wanajuana wenyewe..maana huyu bwana anajulikana kwa kuwaadhibu ma girlfriend zake..
 
Hivi mapenzi gani yapo pale mtu anaweza kunyanyua mkono na kumpiga mpenziwe! Mkishindwana si muachane kwa usalama. Vijana tubadirike.

Haya ndio madhara ya kuwekeza kwa hawara,angekuwa mkewe isingemuuma kiasi cha kutoa kichapo.
Yaelekea TID hana kale kaguu ka kuku kama akina mmasi!!
 
Niliwahi kupata BAHATI MBAYA ya kukaa pembeni ya tid nikiwa familia yangu.... Kijana hana adabu, haheshimu kabisa mazingira aliyopo na hafai kabisa kwenye jamii

WAMFUNGE TU ILI AACHE KUSAMBAZA MADAWA YA KULEVYA KWA WANABONGOFLEVA
 
me ningemfunga hadi kipaji mafi chake kife kabisa! Hizo dawa zingemtoka nakwambia! Yanii... This dude was cool before...until after starting majani
 
TID aliwahi kufungwa Kwa kosa LA kumpiga mtu sleep way miaka ya nyuma...hiii tena ..mnyama vipi mbn unapoteza point...
teh...hapo kwenye nyekundu hebu jitahidi hata kidogo na vitu vidogo kama hivi..........mnatusumbua sana humu nyie
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom