Huyu ndiye Binti aliyechapwa makonde na kujeruhiwa vibaya na msanii TID hapo jana Usiku..!!

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281

Khaleed Mohamed 'TID' na Mariam Nnauye
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake, Mariam Nnauye
 
Harafu Pale Osterbay Wanapenda Pesa Sana Hata Ripoti Ya Kapuya Wameiweka Kwenye Makalio! Jamaa Atakesha Sana Pale
 
Hivi mapenzi gani yapo pale mtu anaweza kunyanyua mkono na kumpiga mpenziwe! Mkishindwana si muachane kwa usalama. Vijana tubadirike.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom