Huyu ndiye atakayemuondoa bungeni Nimrod Mkono2015... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ndiye atakayemuondoa bungeni Nimrod Mkono2015...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by magessa78, May 4, 2012.

 1. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  David.JPG goliath.jpg
  DAVID VS GOLIATH

  Atatumia mawe matano, lakini jiwe moja tu..litampata pajini..chini!
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Tatizo lenu mkifika anawapa hela mnajitoa
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  amtoe kwa lipi?kwani wana musoma vijijini hawamtaki mh nkono?
  Mbona jamaa huwa anapita bila kupingwa?au umetumwa wewe"yego?kutiki goh?
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Musoma vijiji wagombea huwa wakifika wanakatiwa fungu wanajitoa sina imani nao kabisa sku hizi
   
 5. R

  Rev. Damasus Mkenda Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  How to kill your Goliath is a powerful sermon I can preach to anyone who wants to kill his/her Goliath. Always i feel excited to see Goliaths are killed by Davids.
   
 6. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa Mkuu,

  Tena nasikia kuna kiongozi mmoja kijana wa upinzani ndio huwa anakula hizo hela halafu hawa madogo wanaambulia milioni mbili!!

  Mkono akipata mtu serious anapigwa chini kirahisi sana!
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nasikia Nimrod ni mchawi na mtoa rushwa wa kupindukia. Ni kweli?
   
 8. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  nani huyo mbona picha tu hakuna wasifu
   
 9. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bandugu,david haongeki.pesa za mkono zinanuka.hamjawahi kusoma riwaya ya 'pesa zako zinanuka' ya elvis musiba?!,david haongeki.ni mtumishi wa Mungu wa kweli
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mmh! Kujipigia debe eeeh? Nenda kwa wapiga kura ukajitangaze!
   
 12. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kwa chama gani?naona anasaka mtaji
   
 13. b

  big niga Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  ...hizo ni ndoto...
   
 14. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Lakini huyu Nimrod si yule aliyesaini form za Zitto pale Bungeni?. Kidooogo hiki kibabu nilikiona kinafaa kwa kuwa hatumii akili za Masaburi. Lakini kama kinapenda sana kutoa rushwa basi hakifai, Kitafutieni Jembe la ukweli ili mkipumzishe 2015.
   
 15. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wasifu wa David:ni mwanaharakati na mwanamabadiliko nchini.,ni mwanachama na mkereketwa wa CHADEMA.,ni mmoja wa viongozi wa mitandao ya jamii nchini, ni mjasiriamali na mshauri wa masuala ya kifedha,kiuchumi,kimiradi na kijamii kwa ujumla.ana elimu ya masuala ya fedha,BEDCOM (2005 UDSM) CPA (2009) na MBA (Progress to Nov. 2012 OUT),pia ana MSc PRM (2008 Israel)...to be continue
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Hatanunulika kama yule wa 2010????
   
 17. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kamanda haya kawambie wapiga kura wako humu hawaingii Musoma vijiji hakuna umeme wala TV
   
 18. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hili ni Jembe kwa uhakika! Sasa namshauri ajitokezo mwenyewe hapa JF tumpe baraka na mbinu za ushindi! Asijifiche fiche akawa kama kina Sioi!

   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Labda Mkono aamuwe hagombei tena.
   
 20. K

  Kongi JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Hongera sana kwa kutangaza nia kwa style ya uwoga hivi. Ila kabla ya kumtoa Mkono utatakiwa kufanya kazi ya kunitoa mimi kwanza katika ngazi ya chama (CHADEMA) kama utataka kugombea kwa chama chetu makini. Ni mimi kijana wa Mmazami Makutano ya juu. Fisadi Mkono lazima aondoke 2015.
   
Loading...