Wasifu wa Ally Salum Hapi

kama ni huyu ni kweli anafaa ndani ya CCM, lakini hafai kutumika kwa nafasi yoyote ile kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa TZ lakini mimi huyu nimesoma nae pale UDSM kwanza ni mnafiki Mkubwa ambaye aliweza kununuliwa na kuingia magamba toka CDM,
Huyu ndiye yule aliyezomewa wakati wa Jukwaa la katiba na akawa anagoma kutoa kapaza sauti kwa mchangiaji mwingine na Wanafunzi wa UDSM Kwa sababu ya kuwasaliti alipokuwa UD
huyu ailiwahai kushindwa uenyekiti wa wanafunzi kitivo cha sheria kutokana na kujifanya kwake na usaliti wake kuwachongea wanafunzi wengine na kueleza mikakati yao utawala ili wachukuliwe hatua
huyu ndiye wakati wa mgomo wa madaktari alijifanya ni mpaenda amani kwa kuanza kuwashutumu madakatari bila kuanza kujiuliza chanzo cha tatizo.

NARUDIA NI KIONGOZI MZURINDANI YA CCM NA ANASTAHILI NA HADHI ANAYO KUWA WA SEHEMU HIYO ALIYOPO KUTOKANA NA TABIA YAKE
 
Hapi si msaliti na ni kijana mchapakazi, istoshe pia ni kijana mwenye misimamo yake, hii inajionyesha kutokana na ngazi mbali mbali za uongoz ambazo hugombania na wale wanaompigia kura humchagua kwa kura nying tu, na hii inajionyesha pale nyota yake ya uongoz toka SHULE YA AWALI,SHULE YA MSINGI,SECONDARI O LEVEL na A LEVEL mpaka CHUO KIKUU kushika nyadhifa mbali mbali za uongoz na humu hupita kwa kuchaguliwa kwa kura nyigi tu,jamani ci jui hapa mtasemaje.Tuseme hayo malalamiko ni mambo binafsi tu ya watu wapembeni ktk kuziendea au kukamilisha siasa za kipropagandahasi ambazo hazina faida kwa kizazi hiki.Cic tunaeleza ukweli na hupenda kumpa fursa yule ambae anauwezo aweze kusonga mbele.
 
MWINUKAI wewe kimtazamo ni mtu wa chama fulani umetengeneza kitu flani kwa sababu eti HAPI yupo chama ambacho wewe upo tofauti nacho sasa hapo huwez kutenda haki,kwasababu maelezo yako yameambatana na chuki flani hivyo haya wez kuzingatiwa.BADO HAPI ANATOSHA KUWAKIONGOZ NA TUMSAPOTI KIJANA MWENZETU NA TUACHE SIASA ZA KIPROPAGANDAHASI.
 
MWINUKAI wewe kimtazamo ni mtu wa chama fulani umetengeneza kitu flani kwa sababu eti HAPI yupo chama ambacho wewe upo tofauti nacho sasa hapo huwez kutenda haki,kwasababu maelezo yako yameambatana na chuki flani hivyo haya wez kuzingatiwa.BADO HAPI ANATOSHA KUWAKIONGOZ NA TUMSAPOTI KIJANA MWENZETU NA TUACHE SIASA ZA KIPROPAGANDAHASI.
 
Ally Salum Hapi, CCM, Wa Tabora na mpenda short cut, kila kitu kipo pema kabisa.

Infact kwa dini yake na hiyo tabia ana kila sababu ya kufaulu na kwenda mbali sana kisiasa.

Wa Tabora mwenzangu, changamka ule mapema maana ikifika mwaka 2015 unaweza ujikute huna pa kwenda.

Sasa Mwana sheria mzima anajipendekeza, si ndiyo hawa anawasakama Mchungaji Msigwa?



aisee usilete udini ukachafua hali ya hewa, uislamu hautaki wanafiki pia
 
Last edited by a moderator:
Waswahili husema ''Panapo rindima msondo njuga hazina kelele,na siku zote aliyetangulia mtoni hanywi tope na nafasi ya mkia ni mkiani tuu''ikiwa ni muhongaji na habari inaeleza matukio yote kwa mtiririko kwa maana kwamba huyu mtu alikuwa akifuatiliwa nyendo zake,swali linakuja jee wewe uliye kuwa ukimfatilia ulichukua hatua gani kipindi hicho ili kuhakikisha kwamba unakomesha tabia ya yeye kutoa rushwa??kulikuwa hakuna vyombo vya kuzuia rushwa?
 
Ingawa mimi siyo mwana-siasa lakini huyu pimbi hafai. Tunahitaji mtu ambaye yuko honest, mkweli na mwenye kusimama kati pasipo kujali kundi flani la watu.
 
Sasa JF imekuwa jukwaa la majungu evidence alizokuwanazo mleta mada ni dhaifu mno haziwezi kumkovince mtu anayetumia kichwa kwa ajili ya kufikiri labda wale wanatumia kwa ajili ya kufugia nywele.
Kwa MFANO HAFAHAMU MASOMO WANAYOSOMA WANAFUNZI WA SHULE ZA UFUNDI .FIZIKIA HAWASOMI BALI NI ENGINEERING SCIENCE INA I REPLACE.
Hapo ni majungu zaidi yametawala zaidi ya reality .
Mleta mada inaonekana ni VICTIM WA MCHAKATO WA MAGAMBA WANAOENDELEA NAO






NEUTRALLY. WAACHENI WAFU WAZIKANE
 
NI VYEMA MANENO YA MTU HUMTAMBULISHA WASIFU WAKE SASA KAMA NENO PIMBI NDO NIN SASA AU TUKUELEWEJE NI VYEMA KUWA MSTAARABU.KWA SABAU HATUTO ZINGATIA ULICHOKIANDIKA KWA SABABU WEWE UNACHUKI BINAFSI NA USIKUBALI KUTUMIKA Mh. wembondo. hunahoja ya kimsingi. KIJANA HAPI NI MCHAPAKAZI NA NI MTU MAHIRI SANA .TUACHE POROJO NA PROPAGANDAHASI KWA KWELI.
 
Mie ni wa Tabora na ndugu zangu wengi ni Waislaam. Huwa nawaambia moja kwa moja kuwa huu ni muda wenu changamkieni nafasi kwa tiketi ya udini. Bahati mbaya hali iko hivyo kwa sasa.
aisee usilete udini ukachafua hali ya hewa, uislamu hautaki wanafiki pia
 
Hapo umeteleza sheria haina ublahblah tusidanganyane hapa cha maana ni kuwa hiyo degree kaipata kwa aakili yake au kanunua paper? hiyo ni mosi mbili kuna madaktari tumesoma nao hawakufanya vizuri mitihani kuliko walioenda kusoma uchumi na sheria katika mitihani ya o-level hawa jamaa walioenda kusoma social science walifanya vizuri kwenye masomo ya sayansi kama biology na Chemistry kuwashinda hao waliokwenda A level na PCB au CBG wakati mwingine ni utashi wa mtu kutaka awe na taaluma gani yaani anapojisikia yuko more comfortable na ana compassion na hiyo kada


we gwin hukunielewa hii ni kwa sababu unafikiri kwa kutumia uti wa mgongo, nachosema haya masomo yenu hakuna binadamu anaeweza kufeli kinachotakiwa ni kuwa na uti wa mgongo unaofanya kazi vizuri ambao hauajshambuliwa na magonjwa nyemelezi.
 
we gwin hukunielewa hii ni kwa sababu unafikiri kwa kutumia uti wa mgongo, nachosema haya masomo yenu hakuna binadamu anaeweza kufeli kinachotakiwa ni kuwa na uti wa mgongo unaofanya kazi vizuri ambao hauajshambuliwa na magonjwa nyemelezi.

Hakuna mwanafunzi anayefeli masomo ya sayansi nchi za ulaya na Marekani umewahi kusikia mwananfunzi alienda Russia au China kusomea udaktari akashindwa? Tatizo ni wahadhiri wa hayo masomo kwa Tanzania pili kwa taarifa yako sijasoma social science hapa nilijaribu kuonyesha utashi wa mtu kutaka kusoma atakacho na kuheshimu kada za wengine pia kwa taaluma nina shahada ya uzamili katika Electrical Engineering toka Michigan State University na ninaishi Chicago katika jimbo la Illinois hapa Marekani ndio maana muda mwingi nipo kwenye charting room kwa masaa ya usiku wa manane Tanzania. Jiheshimu sio kutukana watu na videgree vyako ukidhania umesoma peke yako.
 
ni kweli ni vyema kuheshimu taaluma ya mwenzio, ktk kusoma hakuna kitu rahisi kila fani inahitaji juhudi na bidii zaidi.kudharau fani ya mwenzako na kujiona wewe ndo bora si jambo la busara kwani mwisho wa siku taaluma zote hiz hutegemeana ndipo mambo yaende sawa ,kwa mfano Daktari akipelekwa mahakamni humtegemea mwanasheria vivihivyo mwanasheri/Hakimu akeinda Hospitalin hategemei Document zake bali hufika kwa Daktari na kutibiwa.kila kitu ktk elimu ni kigumu na kinahitaji bidii na jitihada na pia kila mtu anamalengo yake nakumbuka Darasa la nne kuna swali WHAT ARE YUO GOING TO BE tulikuwa tuna jibu, hivyo mtu kushft kutoka fani flan kwenda fani nyingine ci tatizo. ALLY SALUM HAPI alishift kutoka sayansi kwenda sheria ci tatizo yeye alijiwekea malengo yake mwenyewe.
 
Mie ni wa Tabora na ndugu zangu wengi ni Waislaam. Huwa nawaambia moja kwa moja kuwa huu ni muda wenu changamkieni nafasi kwa tiketi ya udini. Bahati mbaya hali iko hivyo kwa sasa.
Sikonge Senkiyu kwa kumwaga ukweli ambao wengi hawataki kuusikia kwa sababu tu hawataki kuukubali.
Napenda watu wanaosema ukweli kama ukweli. Najua watakuita mdini maana hilo tu ndilo limebaki defence lakini sasa hivi ni dhahiri kwamba uchaguzi wa magamba umegeuka kuwa ni wa kidini na hasiyependa kusikia anyamaze sie tuseme ukweli.
Jicho siku zote litabaki jicho haliwezi kuwa mdomo!
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa anaeijiita wanasheria wa ccm, hivi kweli anataaluma ya sheria? Mbona kwenye mahojiano huyu jamaa yupo weak sana kuinterpret maneno ya kisheria, bad enough naskia alionekana tu kwenye school of law ila hawajamuona anahitimu na hajakanusha? Anavyo jisifu angekanusha, mustbe somthing wrong wth him.
Please, anae mjua habu atueleze tusimfikiri vibaya kumbe sivy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom