Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,579
Toka sekeseke la kutimuliwa kwa watumishi wa uma waligundulika kugushi vyeti ktk jamii zetu, mitandao ya kijamii na sehemu mbalimbali wamekuwa wakihoji kwanini viongozi swala hili halikuwagusa!?
Mh Kairuki alikumbusha ya kuwa kwa mujibu wa katibu tulionayo mpaka sasa wateule wa raisi huteuliwa kwa sifa aziwekazo raisi na kigezo kikuu kikiwa ni kujua kosoma na kuandika!
Kumeibuka mijadala yakuwa inawezekanaje dereva wa RC au DC lazima awe na cheti cha form four na cheti cha udereva kama kigezo alafu amuendeshe kiongozi mwenye sifa za kujua kosoma na kuandika!
Nimetumia mda wangu kutafakari kwa kina juu ya hili na nikagundua kuwa kuna haja kubwa ya mabadiliko ya katiba yetu ila ukitazama kwa undani pamoja na ubovu wa katiba hiyo mpaka sasa sijaona RC wala DC aliyechaguliwa kwa kigezo cha kujua kusoma na kuandika!!
Anayeliliwa sana ni mtu mmoja wanaomwita Bashite ambaye kwa mantiki hiyo yeye haingii ktk walioteuliwa kwa kigezo cha kujua kusoma na kuandika kwani tatizo kama lipo labda kwa level za chini ila ni graduete na ameisoma mwenyewe sio kama kaiba cheti cha mwenye degree ila kakaa darasani ktk masomo ya shahada na katunukiwa shahada hiyo na ipo wazi kwa system ya vyuo vyetu ukishafaulu ukagraduete wewe ni graduete yani degree holder sasa naomba wanaosema eti kuna viongozi walioteuliwa kwa na JPM kwa kigezo cha kujua kusoma na kuandika wamlete hadharani tumjue wote mteule huyo tuache kunung'unika tu chini chini!