Huyu ndio Shemeji na Wifi yenu

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,499
92,317
522177_129458463870207_385711448_n.jpg
 
Kwa hiyo wabaya wa sura hawaolewi eeh!, kila mtu anatambulisha warembo tu, itabidi nifanye ku volunteer nioe surambaya moja nao wafarijike
 
Laziamm niripoti kwa Invisible haiwezekani picha ya Housegirl wangu uiweke mtandaoni
 
Kwa hiyo wabaya wa sura hawaolewi eeh!, kila mtu anatambulisha warembo tu, itabidi nifanye ku volunteer nioe surambaya moja nao wafarijike

Huyu anatafuta mwenzi wa maisha nadhani atakufaa

UglyGirl.jpg
 
Laziamm niripoti kwa Invisible haiwezekani picha ya Housegirl wangu uiweke mtandaoni

Ndio ujue kuwa kila ulipokuwa unaenda kzn mwenzio anahamia kwako!Yale maji yakwanza yamchemsho wanyama anapewa yeye ukirudi unakula makapi!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom