Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,791 Dec 5, 2012 #3 Lily Flower said: Kwa nani? Click to expand... tujue saa hii.....
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Dec 5, 2012 #4 Kwa hiyo wabaya wa sura hawaolewi eeh!, kila mtu anatambulisha warembo tu, itabidi nifanye ku volunteer nioe surambaya moja nao wafarijike
Kwa hiyo wabaya wa sura hawaolewi eeh!, kila mtu anatambulisha warembo tu, itabidi nifanye ku volunteer nioe surambaya moja nao wafarijike
Zinduna JF-Expert Member Nov 6, 2011 2,378 3,379 Dec 5, 2012 #5 Yaani kukutumia picha yangu ndo umeamua kuitandaza humu!
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,809 93,465 Dec 5, 2012 Thread starter #6 Lily Flower said: Kwa nani? Click to expand... kwa sababu ndiye anayeniliwaza mie....
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,809 93,465 Dec 5, 2012 Thread starter #7 Zinduna said: Yaani kukutumia picha yangu ndo umeamua kuitandaza humu! Click to expand... nisamehee Zinduna, ila watakujuaje!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Zinduna said: Yaani kukutumia picha yangu ndo umeamua kuitandaza humu! Click to expand... nisamehee Zinduna, ila watakujuaje!!
Lily Flower JF-Expert Member Oct 16, 2009 2,553 1,197 Dec 5, 2012 #8 watu8 said: kwa sababu ndiye anayeniliwaza mie.... Click to expand... Wewe wasema haya hongera.
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,411 85,838 Dec 5, 2012 #9 Laziamm niripoti kwa Invisible haiwezekani picha ya Housegirl wangu uiweke mtandaoni
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,809 93,465 Dec 5, 2012 Thread starter #10 Baba V said: Kwa hiyo wabaya wa sura hawaolewi eeh!, kila mtu anatambulisha warembo tu, itabidi nifanye ku volunteer nioe surambaya moja nao wafarijike Click to expand... Huyu anatafuta mwenzi wa maisha nadhani atakufaa
Baba V said: Kwa hiyo wabaya wa sura hawaolewi eeh!, kila mtu anatambulisha warembo tu, itabidi nifanye ku volunteer nioe surambaya moja nao wafarijike Click to expand... Huyu anatafuta mwenzi wa maisha nadhani atakufaa
Codon JF-Expert Member Dec 16, 2011 628 93 Dec 5, 2012 #11 Elli said: Laziamm niripoti kwa Invisible haiwezekani picha ya Housegirl wangu uiweke mtandaoni Click to expand... Ndio ujue kuwa kila ulipokuwa unaenda kzn mwenzio anahamia kwako!Yale maji yakwanza yamchemsho wanyama anapewa yeye ukirudi unakula makapi!
Elli said: Laziamm niripoti kwa Invisible haiwezekani picha ya Housegirl wangu uiweke mtandaoni Click to expand... Ndio ujue kuwa kila ulipokuwa unaenda kzn mwenzio anahamia kwako!Yale maji yakwanza yamchemsho wanyama anapewa yeye ukirudi unakula makapi!
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,809 93,465 Dec 5, 2012 Thread starter #12 Elli said: Laziamm niripoti kwa Invisible haiwezekani picha ya Housegirl wangu uiweke mtandaoni Click to expand... Huyu ushamfukuza?
Elli said: Laziamm niripoti kwa Invisible haiwezekani picha ya Housegirl wangu uiweke mtandaoni Click to expand... Huyu ushamfukuza?
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,809 93,465 Dec 5, 2012 Thread starter #14 Mvaa Tai said: 'Namjua na yeye ananijua' Click to expand... Basi nyie mwajuana....
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,411 85,838 Dec 5, 2012 #15 My wife wangu aliogopa usalama wa watoto bhana, halafu alilkua anataka nimaptie Bima ya Afya, NSSF nk watu8 said: Huyu ushamfukuza? Click to expand...
My wife wangu aliogopa usalama wa watoto bhana, halafu alilkua anataka nimaptie Bima ya Afya, NSSF nk watu8 said: Huyu ushamfukuza? Click to expand...
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Dec 5, 2012 #16 watu8 said: Huyu anatafuta mwenzi wa maisha nadhani atakufaa Click to expand... Una utani na Preta !!!? zikianza ngumi mie siamulii, niko kwenye dozi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
watu8 said: Huyu anatafuta mwenzi wa maisha nadhani atakufaa Click to expand... Una utani na Preta !!!? zikianza ngumi mie siamulii, niko kwenye dozi
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Dec 5, 2012 #17 watu8 utayaweza wenzio wana........... mihela bwana na katoto ka 0.5
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,809 93,465 Dec 5, 2012 Thread starter #18 Baba V said: Una utani na Preta !!!? zikianza ngumi mie siamulii, niko kwenye dozi Click to expand... hahaha ndio maana jana alikua anatiririka makichina kwa kwenda mbele....sikua najua Preta ni mchina!!!!
Baba V said: Una utani na Preta !!!? zikianza ngumi mie siamulii, niko kwenye dozi Click to expand... hahaha ndio maana jana alikua anatiririka makichina kwa kwenda mbele....sikua najua Preta ni mchina!!!!
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,809 93,465 Dec 5, 2012 Thread starter #19 MadameX said: watu8 utayaweza wenzio wana........... mihela bwana na katoto ka 0.5 Click to expand... hahaha mi mwenyewe si unaniona hapo...mtoto kazimikia color
MadameX said: watu8 utayaweza wenzio wana........... mihela bwana na katoto ka 0.5 Click to expand... hahaha mi mwenyewe si unaniona hapo...mtoto kazimikia color
Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,119 9,049 Dec 5, 2012 #20 I hope you mean it...huyo kama huna kifua cha simba sahau...