Hivi jamani ukiwa Rais ukajikuta mahali kama hapa alipo huyu baba, ukajionea hali hii mwenyewe, unaondoka ukiwa na mawazo gani ukizingatia kiasi kikubwa cha fedha za umma zinaibiwa na wachache? Hivi inawezekanaje hawa viongozi wetu wakawa na raha na kicheko katika hali kama hii?? Hivi ni kweli haiwezekani kabisa kuikomboa Tanzania hata tu kwa kuwa na majengo mazuri ya hospitali na vitanda hata kabla hatujamfikia mtu mmoja mmoja?? Mungu aturehemu na kuwatoa hawa viongozi mioyo ya mawe waliyo nayo na kuwapa miyo ya nyama wawe wanaona huruma
Hii ni kiboko kwelikweli!!! Wakati wa kampeni anakubali kukaa mpaka chini. Ila kabla na baada vumbi hataki kulisikia!!
Vipi juzi hapa alienda vacation huku kijijini kwao kwa muda wa siku mbili tatu. Ina maana ameshajenga ikulu ndogo huko?
Vipi juzi hapa alienda vacation huku kijijini kwao kwa muda wa siku mbili tatu. Ina maana ameshajenga ikulu ndogo huko?
Mie Raisi wangu ni Dr. Wilbroad Slaa na sio huyu na kura yangu hakupata
Amekwisha jenga makazi yake ya kudumu huko kijijini kwao Msoga. Amejenga kijiji chake kilichozungukwa na nyumba za jirani za mbavu za mbwa lakini yeye zake ni kasli mithili ya kijiji cha marehemu Mobutu kule Zaire!! Msioamini nendeni mkaone nyumba hizo zinaonekana hata ukiwa barabarani unapoelekea Tanga au Moshi!!
Jamani kuweni waungwana kidogo basi kwani mbona kuna wagombea wengine wametumikia asasi za kidini zenye misaada na hawakutumia misaada kujenga nyumba za majirani zao wanakotoka? Hivi lini watu wataacha kucritiseze viongozi waliopewa ridhaa? mimi namuunga mkono Mhe Mkapa kuna watu wanawivu wa kike![/QUOTE]
Hivi kuna wa kiume?na huyo Mkapa hajui mama yake ni wa kike?
:doh: , kweli. wananchi hawa ndio walikuwa wa kwanzaa kufika kwenye vituo kumpa nafasi nyingine tena ya kuwaongoza. Ama kweli, WAJINGA NDIO WALIWAO. Poole TanzaniaIn contrast hii ni hospitali ya Msoga....
![]()