Huyu ndio NDYOKO na mambo yake

kweli ndyoko haonekani siku hz, nani ana taarifa zake?

Nipo giLESi sema mambo yamekaba kinoma hadi
muda wa kudekshia jf nakosa, ila naona wadau wanavyojimwaga.

Shemeji bujibuji nitake radhi, kwa kuanika threads bila ridhaa yangu
 
Siku hizi naogopa kidogo, kuna 'mtumishi' wa Mungu humu alidai anaweza akaniombea nikapatwa na ule uginjwa wa kuvimba m..k..de nikajikuta nashindwa kufanya mambo yangu vizuri!!!!!!!!
 
Nipo giLESi sema mambo yamekaba kinoma hadi
muda wa kudekshia jf nakosa, ila naona wadau wanavyojimwaga.

Shemeji bujibuji nitake radhi, kwa kuanika threads bila ridhaa yangu

Kumbe thread za ndyoko zinalindwa na copyright act. Sanahani sana sikujua bwana shemeji
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom